WA-UKENYENGE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,918
- 1,234
Ada ni 1.5Mil kijana
Poa poa wakuu, ngoja niwasiliane na vijana wakazi watangaze Campus - Bamp! Bamp! Bamp! kiingilio Buku kumi tu, ukija na mwandani wako buku kumi na tano!! Baada ya hapo Welcome First Year!! Na baadae Bwasheee naye apandishe kidogo msosi, si hela ipo bwana!! Anyway, kila kheri!!
kasula hadji niangalizie mkuu.!
hongera ze dudu mshukuru MUNGU wengine ka ndoto vile, jina lina anzia na Z tunatafuta hadi kwenye A huku kachoz na kajasho kembamba kanadondoka
1.8M mkuu..
Leo usiku vijana lazima wabweke wakati wanarudi Hall II, hapo saa 11 alfajiri. Kuweni makini, hizo hela zitarudi zilikotoka.daah ni ful bata....kwa kujipongeza na anza na kilimanjaro Moto
kweli kaka... Mungu Ndio Kila Kitu..HOPE umepata % Ya Ukweli
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-mkopo-loan-allocation-list-2012-2013-a.html2pia Udism kakaNisaidiane link 1. AK-DU.
code ya chuo ni IRDP
dah thanks to God he rescued son of peasant...naenda kuchukua bachelor yangu sasa mweeee
Hongereni wote mliopata mikopo ila kumbukeni kuna 8% ya mshaara ni makato mtapopata kazi.
mr. Naomba unichekie naitwa LILIAN HUBERT (duce) BA.Ed