Kwa jinsi mlivyonitesa nyie HESLB na silipi ng'o. Ila aksante MUNGU umenikumbuka mja wako
Kwa hiyo una uhakika wa kuhudhuria Freshers Ball ?
samahani kaka...net sasa hivi iko busy balaa ikifika jioni hope net itakuwa pouwa so nitajitahidi kukuchekia
Thax god coz n miongoni mwa nilionekana kwa board ya loans,,, haya kwa wale waliopata zote kama mm 2pongezane...... Bifu ctaki wana jf..................
Du?Umenikumbusha mbali sana maana enzi zetu kwanza kuna week 2 the orientation kwa 1st year.Tulikuwa tunapewa boom babu kubwa kama umetoka bush unanunua pamba kidogo mpya viatu n.k.weeeee siku hizi hiyo ipo?
Hivi wewe unawajuwa hawa watoto au unawasikia tu? hakuna mwenye wazo kwamba huo ni mkopo na ndio maana wanaliita boom.Hongereni.
Kumbukeni kutumia hela kwa malengo kusudiwa, kisha msikose kuzilipa ili wengine nao waweze kukopa.
Yaani umemaliza form six na bado hujui namna ya kupata asilimia!? Taifa letu linaangamia kama hawa ndio wasomi watalajiwa wenyewe.oya niambie jns ya kujua ni aslimia ngapi?
Hivi wewe unawajuwa hawa watoto au unawasikia tu? hakuna mwenye wazo kwamba huo ni mkopo na ndio maana wanaliita boom.
Sasa wiki hii kwenye mabaa heshima hakuna kabisa mpaka watoto hawa wamalize hivi visenti waanze masomo. na kuna udhaifu mkubwa sana wa kimfumo bodi ya mikopo, kwa wale waliokopa mwanzoni na kama si watumishi wa Serikali ndio imetoka hiyo zile pesa hazitolipwa milele.