Link za majina ya bodi ya mkopo (Loan allocation list) 2012/2013

masela mi nimechelewa kwenda net na haifunguki....dah...
 
Shangilia vizuri mwanawani, kaka zako tuliwaona watu wanashangilia na boom, mwishowe wakaishia kutanulia sasa wanasita kulipa! By the way, hongera mwanawani, manake hata mikopo sasa hivi kupata ni issue!
 
27843SULEIMAN, HAJI RS1557.0040.2009 ZU BSTE 3,637,500
27844YUSSUF, ZAINAB AS1048.0217.2007 ZU BBIT 3,022,500

Mbona kwenye orodha ya heslb namba ya mwisho ni 27,844 ambaye ni Zainab Yussuf toka Zanzibar University wakati kwenye tangazo lao walisema jumla ya waliopata mkopo ni 28,454 ukiondoa wale 659 ambao fomu zao zilikuwa na matatizo

"HESLB Acting Executive director, Mr Asangye Bangu, told journalists at the Board's headquarters in Dar es Salaam that out of 33,050 applicants, who met set criteria for acquiring loans for the 2012/2013 academic year; only 29,113 – 9,088 females (31.94 per cent) and 19,366 males (68.06 per cent), would get the loans.

However, he said, out of 29,113 successful applicants, the Board has so far completed allocating the loans to 28,454, and the rest, 659 applicants, would receive them later after mistakes in their applications. He said the applicants have been given 14 days to make the corrections" - The Citizen 19/09/2012
 
iv naomba niulize kwa wale wa SUA "AGRONOMY"
Iv kuna aliyepewa Juu ya hii 3,475,000.au ndo mia ya ki Agronomy.tenks GOD nimelamba iyo.
 
Lazima uta-disco wewe Unaijua Milioni 3,867,000? Sema umelamba 3,867,000 siyo 3,867,000 million.
 
hongelen xana vijana wa pre 1yrst mmetusumbua vya kutosha xaxa hz post za helsb muache kupotest sasa
 
Jamani akaunti yangu inasema nimekosea password na nikajaribu kureset haikubali na haifunguki. Haya mambo mnayapata wapi? Nimejaribu pia japo kufungua website ya heslb haifunguki wakati mwingine. Msaada kwenye tuta.
 
polen sana hapo hakuna hata mmojaàliyelamba mia,wote ni nusu kushuka chini!bado suala la kulipa ada linawahusu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…