Lionel Messi arejea timu ya taifa Argentina

Lionel Messi arejea timu ya taifa Argentina

Haka kakwepa kodi inabidi kalambe tu matapishi maana hakuna jinsi nyingine ya kujaribu kusafisha taswira mbele ya jamii! Si unajua kalishafungwa hata kama ni kifungo cha nje! kifungo ni kifungo bila kujali aina ya kifungo!

Sasa wewe usiekuwa na maneno sawia kwa huyu kiumbe mambo ya kodi yanakuhusu nini? mwanaume mzima unaongea utumbo? Huyo NoDO wenu japo hayajamkuta haya ya messi lkn kitu gani kamzidi huyu kiumbe! Haya maneno waachie mademu wayaongelee mzee na sio wewe dume zima hata aibu, sorry au wewe ni female?
 
Kinachomuuma Messi ni kuwa ameona mwenzake Ronaldo amebeba taji LA Euro cup akiwa NA timu ya taifa ya Ureno wakati yeye hana taji lolote la maana akiwa na timu ya Argentina! Hilo ndilo limemlazimisha arudi timu ya taifa ili abahatishe kombe la dunia 2018! Angekubali tu kuwa R7 ni habari nyingine!

Haya maneno kuna mshkaji mmoja humu mtaalamu wa soka blackpansa alishasema, huwa mukikaa kwenye mikahawa mnadanganyana then mnatuletea hapa jf, eti messi kilichomfanya arudi ni NoDO..haya maneno peleka kwenye kahawa ndio utawaingiza mjini na sio great thinker
 
Naona umeukalia sawasawa na kuukatikia juu. Zamaradi hawezi kukuita tena ili ujipe promo.

Wewe jamaa ulisomea matusi nini?amekukosea nini mpaka umtolee machafu... Wewe na mshkaji mmoja ivi MLALEO mmefanana sana..maana mkipewa ukweli mnakimbilia matusi au ndio hoja zenyewe siku hizi mzee?

Ukimponda huyo mfalme ujue ndio unamkubali,, uzuri wa huyu jamaa huitaji kuambiwa ukimuona tu moyoni unakubali ni hatari, sasa endelea kutukana watu... watu ka ninyi mods wangekua wanawapiga hata ban ya mwaka mzima.
 
Unawashwa washwa kumchonyo wewe!! Jipige hata vidole inaweza saidia lakini si kujilengesha kwangu, kinachokufanya kurukia ya watu nini kama si unatafuta kuingiziwa mdude tu.
 
Back
Top Bottom