Lionel Messi ashinda tuzo ya FIFA Ballon d’Or 2015

so.PNG
moo.PNG
 
Game mbili za mwisho alizocheza messi kajiongezea pointkwenye ushindi. hat trick 1 na magoli mawili... inyeshe,liwake jua Hii tizo ni ya king Messi aka Mesiah.
 
Heshima kwako Mkuu!!!
Ningependa Wana_Jf wote waige mfano kwako, tunapoandika Jina la Lionel Messi tunapaswa kuanza kuandika neno King!
 
Nmechoka kuona Messi na Ronaldo wanabadilishana hii tuzo, bora hata achukue Neymar
 
Back
Top Bottom