Lionel Messi aweka rekodi mpya ya ufungaji Argentina ikitinga fainali Copa America

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Szczesny
Mim siyo robot mkuu
Tukiheshimiana mbona maisha yana enda

Sidhani kama messi anakufanya uniiite roboti wa jf

Siye ni watu wazima asee, nampenda ronaldo una mpenda messi huna haja ya kunipa aka unless kuna ttzo lingne ila sito mpira
 
Reactions: PNC
Jamani hivi kwa nini tusimlinganishe Messi na wakina Zidane, Pele, Maradona ili kumtendea haki kwa kweli. Kumlinganisha na Ronaldo ni kumchafulia uwezo wake, Ronaldo apambanishwe na akina Suarez, Bale, Beckhamp, n.k...
 
Mim siyo robot mkuu
Tukiheshimiana mbona maisha yana enda

Sidhani kama messi anakufanya uniiite roboti wa jf

Siye ni watu wazima asee, nampenda ronaldo una mpenda messi huna haja ya kunipa aka unless kuna ttzo lingne ila sito mpira
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji120] [emoji120] [emoji120] nilikuwa natania tu japo leo unaonekana umepanick [emoji1] [emoji1] [emoji1] utakasirika zaid baada ya King kutwaa ndoo asubuh ya leo
 
Mod intervene kwa kweli, Messi anakosewa heshima analinganishwa na Ronaldo, kweli hii ni haki????
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji120] [emoji120] [emoji120] nilikuwa natania tu japo leo unaonekana umepanick [emoji1] [emoji1] [emoji1] utakasirika zaid baada ya King kutwaa ndoo asubuh ya leo
Najua watachukua it is theirs to lose, ila omba sana wasiteleze chile tukachukua
 
Reactions: PNC
Najua watachukua it is theirs to lose, ila omba sana wasiteleze chile tukachukua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hizo ni ndoto Chile wakichukua nipigwe ban ya mwaka
 
Wasipo chukua sina shda
Ila wakichukua utapata tabu
 
Reactions: PNC
Wasipo chukua sina shda
Ila wakichukua utapata tabu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Chile hata wabebwe VP lazma wafe na wafariki King anaweza akawafumua hat trick ili ulie vzur
 
Yeah
Argentina wana timu nzuri zaid
 
Reactions: PNC
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Wakienda EURO tuu hawachukui

Ningefurahi kama timu mwalika, maana angelichukua kiulaini tu...alaf pia mechi ya leo wataifurahia mno CHILE maana refarii ni mbrazil,..hivyo kombe tunabeba tumefumba macho,😀😀 hata kama wakibebwa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hizo ni ndoto Chile wakichukua nipigwe ban ya mwaka
Moderator naomba ufanye kama alivyoagiza
 
Nitayainua macho yangu nitazame mpira
Msaada wangu utatoka wapi!!?

Msaada wangu u katika chile aliye ifunga argentina mara mbili
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Chile hata wabebwe VP lazma wafe na wafariki King anaweza akawafumua hat trick ili ulie vzur
[emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112]
Kwa heri ya kuonana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…