PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,106
- 14,353
Sasa rekod had za kukimbia za nini oooh fastest player.Mimi sijui habari za nani ana mpumulia nafuatilia mpira uwanjani
We kama uko na hizo habar endelea ki fuatilia
Rekod nilizo weka zote zina husuoira na ni za ronaldo
Mlisema nizilete sasanaanza majungu tena
Rekod ninazo zitaka Kachukua UEFA mara ngap
Portugal kaisaidia kuifikisha hatua ya juu Mara ngapi
Ana ballon dor ngap
Sio unaniletea rekod oooh first player man of the match vs San Marino oooh mchezaj kufunga goli 5 vs malta HIZI SIZITAK