Lionel Messi aweka rekodi mpya ya ufungaji Argentina ikitinga fainali Copa America

Mimi sijui habari za nani ana mpumulia nafuatilia mpira uwanjani

We kama uko na hizo habar endelea ki fuatilia

Rekod nilizo weka zote zina husuoira na ni za ronaldo

Mlisema nizilete sasanaanza majungu tena
Sasa rekod had za kukimbia za nini oooh fastest player.

Rekod ninazo zitaka Kachukua UEFA mara ngap
Portugal kaisaidia kuifikisha hatua ya juu Mara ngapi
Ana ballon dor ngap

Sio unaniletea rekod oooh first player man of the match vs San Marino oooh mchezaj kufunga goli 5 vs malta HIZI SIZITAK
 
hahaha...Beckenbeuer " The kaiser " yupo mbele ya Messi?

Ngoja nipite kimyakimya...
Yes
Kwangu mie hasa nikiangalia
Namna ya uchezaj enzi hizo
Ratio ya mechi zake na rekod zake
Dunia ya sasa ambayo rooney ana vunja rekod ya boby charton kwa kuifunga san marino kwenye qualifying mechi
Si dunia kama ile ya kina beck bisha ubishavo
 
Sasa rekod had za kukimbia za nini oooh fastest player.

Rekod ninazo zitaka Kachukua UEFA mara ngap
Portugal kaisaidia kuifikisha hatua ya juu Mara ngapi
Ana ballon dor ngap

Sio unaniletea rekod oooh first player man of the match vs San Marino oooh mchezaj kufunga goli 5 vs malta HIZI SIZITAK
Zichambue
Kila rekod nimeweka hapo

Ttzo hutako kuzisoma
Rekodi zake hzo zote we chambua inayo kufaa
Usimpangie rekod
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Wenye mahaba na Ronaldo anayekimbizana na kivuli cha The King of nerve racking football Lionel Messi (asiye kuwa na misifa, mbinafsi, asiye itaji kujitengenezea midocumentary ya flash life na kujitangaza bora), ni kuwa kamwe atafikia rekodi ya uchezaji bora wa dunia wa huyu dwarf.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Sasa rekod had za kukimbia za nini oooh fastest player.

Rekod ninazo zitaka Kachukua UEFA mara ngap
Portugal kaisaidia kuifikisha hatua ya juu Mara ngapi
Ana ballon dor ngap

Sio unaniletea rekod oooh first player man of the match vs San Marino oooh mchezaj kufunga goli 5 vs malta HIZI SIZITAK
Hivo ndo vigezo unavo tumia kumpa messi ubora!!?

Bas kakae utafakari unakurupuka
We kama hujui ronaldo ana ballor d or ngap hiyo si shda yangu

Na mie hvo vigezo haviwez kumfanya messi awe mchezaj bora zaid ya ronaldo
Kwan messi hajawaihi wafunga tirnidad and tobago!!?
Hajawahi wafunga china!?
Hajawahi wafunga jamaica !??
Kila mtu sku hizi ana face lesser opponents

Wachezaj wengi wamekutana na hyo latvia hata goli mbili hawaja funga ndo maana ni rekodi hzo
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Huyu jamaa analete record za most appearance Hahaaaa
Kwani nini!!?

Most appearenence meanst most consistence huwezi kuelewa hzo rekod kama uko biased na huujui mpira vizuri
 
Wenye mahaba na Ronaldo anayekimbizana na kivuli cha The King of nerve racking football Lionel Messi (asiye kuwa na misifa, mbinafsi, asiye itaji kujitengenezea midocumentary ya flash life na kujitangaza bora), ni kuwa kamwe atafikia rekodi ya uchezaji bora wa dunia wa huyu dwarf.
Kusema hata fikia subiri astaafu ila kama bado ana cheza kufikia ina wezekana tuu
 
Akibeba na hiki cha sita, forget and smile, Rinaldo atabaki kuwa bora kwa mashabiki wake tuu. Coz ubora wa mchezaji haupimwi kwenye msururu wa rekodi zake tuu, ingekuwa hivyo beki wa Italy Cannavaro asingekuwa mchezaji bora wa FIFA 2006.
 
Na messi ata baki kuwa bora kwenu nyie tuu

Mmedai rekod hapa nimeleta mna leta siasa

Mna fanya kama jamaa yko mwenyewe tuu duniani huko ni kupretend na kuto taka kujua mambo mengine

Nna mashaka mna waskiliziaga hao wachezaj kwenye vipind vya xxl na power breakfast ila huangalii mpira wala hamfuatilii rekod
 
Mimi sijui habari za nani ana mpumulia nafuatilia mpira uwanjani

We kama uko na hizo habar endelea kufuatilia

Rekod nilizo weka zote zina husu mpira na ni za ronaldo

Mlisema nizilete sasanaanza majungu tena

😀😀😀😀 nimelipenda sn hili jibu🙄🙄🙄🙄 eti sijui habari za nani anam.......!!!
 
Na messi ata baki kuwa bora kwenu nyie tuu

Mmedai rekod hapa nimeleta mna leta siasa

Mna fanya kama jamaa yko mwenyewe tuu duniani huko ni kupretend na kuto taka kujua mambo mengine

Nna mashaka mna waskiliziaga hao wachezaj kwenye vipind vya xxl na power breakfast ila huangalii mpira wala hamfuatilii rekod
Utatokwa na mapovu Bure Messi ni bora si kwa Mashabiki wake pekee Bali ni kwa Beki wa Time za mataifa yote yaliyo wanachama wa FIFA na Makocha wote nchi hizi. Yaani ndio maana tunasema Ronaldo ni bora kwa mashabiki wake, kwa kuwa hata kura zingepigwa Leo duniani, ni kuwa Ronaldo tupia kuleeee [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Umeanza ku assume sasa hapo
Wanaopiga kura hata robo ya wachezaj wote haifiki ni makapten na mokocha na maafisa wa habari wa vyama vya soka

Kusema dunia nzima itamchagua messi ndio una prove point yangu ya nyie messi fan boys mnavo penda kuulazimisha ulimwengu uamini kile mnacho amini
Na ndo nna wapinga sasa
 
Mbona ndo nilichoandika hapo, huo mwendelezo mwingine ni kunogesha baraza, kipande cha maafisa habari ndicho sahaulika. Ili game haliitaji hasira mkuuu, just read btn lines to understd [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] peace & one love [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Sijakasirika mkuu
Ila na tetea hoja zangu badala ya kujumlisha mseme nyie mna mapenzi na messi na mnadhan ni mchezaji bora

Na mimi ni shabiki wa Ronaldo na naona kabsa kabsa yeye ndiye bora zaid
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Yaani hapa mtafika 100 pages na bado hamtakubaliana...!
Sio hatutakubaliana ila tatzo hapa tunajadiliana JF AUTOMATIC ROBOT yani mda wote kumpinga King na wala hachoki [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Roboti ni nan!!?

Huyo king kwenu siyo kwa kila mtu
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom