Lionel Messi aweka rekodi mpya ya ufungaji Argentina ikitinga fainali Copa America

Vipi aliongeza magoli mangap kwny fainali
 
hii post yako imenifanya ela yangu iliwe na kanjibai mwenzie germna,france na belgium wameshinda yy tu kachafu hali ya hewa.
 
mpira wa kumtegemea mtu mmoja ulishapitwa na wakati..now days tunaangalia thw whole team

.messi...ni mkali ila akiwa katika timu yenye muunganiko..ila timu ya kuokoteza watu hawez
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji120] [emoji120] [emoji120] nilikuwa natania tu japo leo unaonekana umepanick [emoji1] [emoji1] [emoji1] utakasirika zaid baada ya King kutwaa ndoo asubuh ya leo
vp mkuu king katoa penati boko na ndoo wamechukua sio

Heh heh heh Messi kawajambia wenzie Mdomoni...kapiga penati ya mwendo kasi
 
mpira wa kumtegemea mtu mmoja ulishapitwa na wakati..now days tunaangalia thw whole team

.messi...ni mkali ila akiwa katika timu yenye muunganiko..ila timu ya kuokoteza watu hawez

Mkuu tafadhali Argentina haimtegemei mtu mmoja,ni timu ambayo imekamilika kila idara japo hawakuwa na bahati, kuhusu huyu mfalme kuwepo pale ni kuzidisha mashambulizi zaidi, na ndiye aliyejituma zaidi kuliko straika yeyote pale, huyu ndiye the greatest player ever
 
Huu mchezo autaki asira.

Tatizo wabongo kwa ku-make ni hodari kwelikweli, sasa hapo mfalme kafanya hasira ipi? Kulia? Kustaafu? Hiyo sio hasira mkuu! Ebu kaa na utafakari upya ni nini kilichomliza na ikampelekea astaafu? Japo 2018 tutamuona Russia akiichezea timu yake, ni hayo kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…