Lionel Messi effects at Inter Miami

Lionel Messi effects at Inter Miami

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Snapinsta.app_464222153_1122769962546246_3267656228070806096_n_1080.jpg
 
Hajafikia level za Gaucho au JJ Okocha jinsi ya kusakata kabumbu.
😅 😅 😅
Hata Ronaldinho mwenyew hajifananishi na messi.

Ronaldinho mwenyew alisema skills nazofanya mm messi anaweza kufanya bila shida yoyote, but swali linakuja kwann messi hafanyi? The answer is simple, messi is a team player and most importantly efficient, hapendi kupoteza muda kupiga skills na kuweka manjonjo mengi wakati body faints zake tu zinamwezesha kuwapita mabeki wengi kwa muda mchache na kutengenezea wengine nafasi ya kufunga kwa wachezaji wenzake.

That's why humuoni akihangaika na skills kama most Brazilians.
 
Haya maisha yanahitaji watu wanaojitambua sana kama akina messi na Ronaldo

MUNGU AWABARIK SANA
 
Hajafikia level za Gaucho au JJ Okocha jinsi ya kusakata kabumbu.
Gaucho akiwa spain barcelona kpnd hicho aliwah kumwambia Marehem Kobe Bryant "Njoo nikuoneshe dogo atakaekuwa mchezaji mkubwa hapa duniani" akimaanishe Messi, enzi hizo gaucho anavaa 10 barca na messi ndio kinda kinda.

So Gaucho mwenyewe anajua messi ni habari nyingine. Mie list yangu inaanza na messi, gaucho, cr7 then cr9. Sijawaongelea Pele na Maradonna sabb mpira wa enzi zao ulikua tofauti sana na wa hawa
 
Washbiki wa Pessi wengi wao wamepanguka akili.

Kwanini iwe messi effect? Kwani alisajiliwa peke yake? Suarez, Alba, Busquet, Kocha mpya martinez na vijana wengi wapya walisajiliwa kwa mkupuo. Halafu mnaporoja messi effect my foot.
 
Messi ni habari nyingine... Ndo playmaker mwenye idadi kubwa ya magoli ukilinganisha na mechi alizocheza kuliko hata natural straickers km Cr7
 
Back
Top Bottom