Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Wamepita Kama best loser thanx to Ronaldo mechi ya mwisho 3-3 Ronaldo katupia 2 na assist 1 akaiwezesha kuvuka makundi.Na ukija ktk EURO ndio kabbisa Portugal ilipita km best looser mkuu
Kufika bila kubeba ndoo ni ujinga tu.. Fainal 3 unapigwa zote ipi fahari yake?Mwambie afanye sasa km sio hoja.
Kukosoa kamä hivi ndò Tanzania tunachokiweza
Vibaya hivyo kuutukana uumbaji wa Mungu nduguTimu Andunje wakikusapoti ktk hili basi watakuwa siyo watoto wadogo tena kiupeo.
Hapo ndipo huwa nashangaa maana kacheza ffainal zote mbili hajafunga hata Goal wengine ndiyo wamefunga kuipa timu ya taifa ushindi ila anasifiwa Ronaldo yaani WANAFIKI WAPO SIKU ZOTE HATA KWA YESU WALIKULA MIKATE.vipi kuhusu 3rd assist hakua nazo? Katika wachezaji waliovurunda kwenye timu na yeye alikua mmoja. Wazee kina Pepe ndio walioikatia jasho timu mpaka Ubingwa. alikua nje anashbikia tu.
Hata pogba anamzidiView attachment 1148981Tumeshuhudia Linel Messi kwa muda mrefu akisota na timu yake ya Taifa kuipa mafanikio tangu kombe la Dunia 2006 hadi mwaka jana 2018.
Tofauti na mafanikio makubwa aliyoiletea klabu yake ya Barcelona
Pamoja na kuwa na mastaa wengi, Argentina bado imeendelea kuwa kichwa cha mwenda wazimu kwa kuondolewa mapema kwenye mashindano muhimu kuanzia makombe yote ya Dunia Messi aliyoshiriki (ukiondoa ile ya Brazil ya mwaka 2014 ambako Argentina ilifika fainali), kwenye Copa America nk
Argentina inachokosa kikubwa ni uongozi
Kwenye uongozi kinachohitajika ni
Hizo sifa zote Messi hana
- Inspiration - aweze kuwatia hamasa wenzake hata wakati wa hali ngumu
- Kujengewa wachezaji positive and winning mentality
- Communication - aweze kuwa medium/njia laini na rahisi ya mawasiliano- kusiwepo na gap ya mawasiliano yenye kusababisha mahusiano mabaya, magomvi na kutoaminiana kwenye timu
- Unification au kujenga timu kila mtu ajione ni sehemu ya timu na peke yake hakuna mafanikio
- Uzalendo - kwamba mafanikio ni lazima kwa ajili ya familia, marafiki, ndugu, nchi na awe tayari kujitoa mhanga kwa ajili ya hiyo
TOFAUTI NAYE
- Messi is not a good communicator
- Ukimya wake unapitiliza na mara nyingi hana muda wa kuwatia ari na hamasa wenzake
Cristiano Ronaldo hizi sifa anazo na ndizo zilizomletea kupata mafanikio kwenye timu yake ya Taifa na wenzake wanampenda sana
Makosa makubwa timu nyingi za mpira zinafdanya ni kwa vile mchezaji ni mzuri uwanjani basi na wampee na unahodha wa timu wakati sifa za uongozi hana
Karibuni kama mna maoni, michango ijikite kwenye sifa za uongozi na sio uchezaji wa hao wawili
Mashindano gani yanaanzia fainali?.. lazima kuna mechi kabla ya kufika fainalHapo ndipo huwa nashangaa maana kacheza ffainal zote mbili hajafunga hata Goal wengine ndiyo wamefunga kuipa timu ya taifa ushindi ila anasifiwa Ronaldo yaani WANAFIKI WAPO SIKU ZOTE HATA KWA YESU WALIKULA MIKATE.
Imagine Ronaldo angekuwa ndiye aliyefunga mabao hayo ya fainali zote mbili hehehe wangesema bila yeye timu ingekosa kombe
We messi hajiskii wala haleti mgawanyiko.Ni vile mganga hajigangi, la sivyo TZ tungeshabeba ndoo kibao hata world cup.
But all in all, Messi anazingua, anajisikia sana, huleta mgawanyiko badala ya muunganiko ktk timu.
CR7 ni kiongozi, huiunganisha timu yake.
Hapo ndipo huwa nashangaa maana kacheza ffainal zote mbili hajafunga hata Goal wengine ndiyo wamefunga kuipa timu ya taifa ushindi ila anasifiwa Ronaldo yaani WANAFIKI WAPO SIKU ZOTE HATA KWA YESU WALIKULA MIKATE.
Imagine Ronaldo angekuwa ndiye aliyefunga mabao hayo ya fainali zote mbili hehehe wangesema bila yeye timu ingekosa kombe
Mimi nimependa hiyo picha tu,yani nikama vile CR7 anatafuta picha kwa MFALME kwa nguvu.Mana na kutabasamu anatabasamu.Halafu kama anamzuia wapigepicha kwanza..View attachment 1148981Tumeshuhudia Linel Messi kwa muda mrefu akisota na timu yake ya Taifa kuipa mafanikio tangu kombe la Dunia 2006 hadi mwaka jana 2018.
Tofauti na mafanikio makubwa aliyoiletea klabu yake ya Barcelona
Pamoja na kuwa na mastaa wengi, Argentina bado imeendelea kuwa kichwa cha mwenda wazimu kwa kuondolewa mapema kwenye mashindano muhimu kuanzia makombe yote ya Dunia Messi aliyoshiriki (ukiondoa ile ya Brazil ya mwaka 2014 ambako Argentina ilifika fainali), kwenye Copa America nk
Argentina inachokosa kikubwa ni uongozi
Kwenye uongozi kinachohitajika ni
Hizo sifa zote Messi hana
- Inspiration - aweze kuwatia hamasa wenzake hata wakati wa hali ngumu
- Kujengewa wachezaji positive and winning mentality
- Communication - aweze kuwa medium/njia laini na rahisi ya mawasiliano- kusiwepo na gap ya mawasiliano yenye kusababisha mahusiano mabaya, magomvi na kutoaminiana kwenye timu
- Unification au kujenga timu kila mtu ajione ni sehemu ya timu na peke yake hakuna mafanikio
- Uzalendo - kwamba mafanikio ni lazima kwa ajili ya familia, marafiki, ndugu, nchi na awe tayari kujitoa mhanga kwa ajili ya hiyo
TOFAUTI NAYE
- Messi is not a good communicator
- Ukimya wake unapitiliza na mara nyingi hana muda wa kuwatia ari na hamasa wenzake
Cristiano Ronaldo hizi sifa anazo na ndizo zilizomletea kupata mafanikio kwenye timu yake ya Taifa na wenzake wanampenda sana
Makosa makubwa timu nyingi za mpira zinafdanya ni kwa vile mchezaji ni mzuri uwanjani basi na wampee na unahodha wa timu wakati sifa za uongozi hana
Karibuni kama mna maoni, michango ijikite kwenye sifa za uongozi na sio uchezaji wa hao wawili
Mada inazungumzia uongozi sio ufungaji, hapo ndipo penye shida. CR7 vs Messi nani ana sifa za uongozi kwenye unahodha wa timu zao za Taifa??? AU nani ni kiongozi bora wa kuwa shawishi wenzako washinde hata kama hachezi uwanjani?Hapo ndipo huwa nashangaa maana kacheza ffainal zote mbili hajafunga hata Goal wengine ndiyo wamefunga kuipa timu ya taifa ushindi ila anasifiwa Ronaldo yaani WANAFIKI WAPO SIKU ZOTE HATA KWA YESU WALIKULA MIKATE.
Imagine Ronaldo angekuwa ndiye aliyefunga mabao hayo ya fainali zote mbili hehehe wangesema bila yeye timu ingekosa kombe
Wajibu wa nahodha ni nini? wewe uwe kiongozi halafu huna uwezo wa kuwaunganisha wenzako ndio maana tunasema Messi hana sifa za kuwa kiongozi bora hata kama anacheza vizuri na hili hatujalikataa. Kiongozi bora anaheshimiwa, anasikilizwa na anafuatwa kwa hali na mali, kwa kauli na matendo na wenzako. CR7 pale Portugal anaheshimiwa, anasikilizwa na wenzake wako inspired kucheza vizuri kwa sababu Ronaldo ana mbinu za kuwa-influence wenzake.We messi hajiskii wala haleti mgawanyiko.
Nakuomba ukamsikilize Tagliafico alichosema kuhusu Argentins.
Usiropoke km umelewa gongo kijana.
"We have seen two glorious stages in our football with [Cesar Luis] Menotti and [Carlos] Bilardo, which are two different ways of understanding football," Ajax defender Tagliafico told Marca. "We have not found out which is the best [style of play] for our time, or which one is the best to help Leo [Messi].
"{He's the best player in the world and we do not know how to take advantage of him.}
"We have to find an idea or a coach that makes us understand the opportunity he represents and bring that order we need. It's not the same to be in a club for 15 years knowing everything. In the national team, either because of the change of president, coach or because of the passion we have that blinds us, we are not able to put together projects every year. That's not easy.
"Leo did not have the luck to be crowned. He reached three finals, but we do not have the project that, for example, Barca does." Many feel Lionel Messi's international career has been underwhelming.
HUYO ANAEJIELEWA KASEMA UKWELI WAKE.
WE KILA MTU ANATAKA KUJIONA ANAJUA PALE ARGENTINS.
HUSUSAN DYBALA.
ASA NANI ANALETA MGAWANYIKO MESSI AU WACHEZAJI?!
USIPOMUELEWA HUYU JAMAA SITAKAA NIKABISHANA NA WEWE.
KM RONALDO KIONGOZI MZURI ALIFANYA NN KOMBE LA MABARA MPK AKATOLEWA NA CHILE??
KINACHOIFANYA PORTUGAL KUSHINDA NI KWASABABU WANA FOOTBALL DISCIPLINE ILHALI ARGENTINS HAWANA
NDIO MAANA WANAWEZA KUCHEZA BILA RONALDO NA WAKASHINDA.
NATAKA UITAZAME ARGENTINS BILA MESSI INAKUAJE
Then kuna maneno nimeyaweka ktk mabano yasome vema
Tatizo lipo kwa wachezaji sio messi.Wajibu wa nahodha ni nini? wewe uwe kiongozi halafu huna uwezo wa kuwaunganisha wenzako ndio maana tunasema Messi hana sifa za kuwa kiongozi bora hata kama anacheza vizuri na hili hatujalikataa. Kiongozi bora anaheshimiwa, anasikilizwa na anafuatwa kwa hali na mali, kwa kauli na matendo na wenzako. CR7 pale Portugal anaheshimiwa, anasikilizwa na wenzake wako inspired kucheza vizuri kwa sababu Ronaldo ana mbinu za kuwa-influence wenzake.
Authority ya dressing room Messi hana ndio maana kila mchezaji anajiendea kivyake, uwanjani kila mchezaji anajichezea kivyake
Kwenye Mashindano makubwa Kama Uefa champions League Messi kapitwa na Christiano Kwenye Assist, kapitwa pia na Giggs
View attachment 1150760
Na ukitaka uone mnyumbuliko wa stats za Messi nikuletee kwa makundi 16 Bora, robo, nusu etc
Messi anafunga na ku assist kwenye hatua za makundi na kidogo 16 Bora ila michuano inavyozidi kuwa migumu na yeye anapotea, kafanya hivyo world cup, anafanya hivyo copa America, Uefa champions League etc.
Yes nakupa na ushahidi Kama unaelewa elewa Kama hutaki endelea kubishaHapo kweli red una uhakika na ulichokiandika au unaongozwa na chuki/uzandiki? tena wewe ni shabiki wa man U hivi messi aliwafanyaje kwenye fainali zenu mbili za mwisho za champions league? au na penyewe alipotea?
Na pia kivipi mchezaji ambaye umezoea kumuona akifunga siku asipofunga sio bora?
nimekuona wewe ni defendant wa C.Ronaldo, nikuulize ni lini Ronaldo aliwahi kuwa MVP kwenye michuano mikubwa akiwa na timu yake ya taifa? tumeona Messi akiwa MVP wa michuano ya World cup, je mtu ambaye anapotea kadri michuano inavyozidi kiwa migumu(kulingana na madai yako) anaweza kweli kufikia hatua ya kuchukua tuzo kama hiyo tena na hao ambao wana shine mwanzo mpaka mwisho wa michuano wakiwemo wanashiriki?
nakusalimu chief mkwawa
Sasa kuna haja gani ya kuvutia wakati makombe huna?
Yes nakupa na ushahidi Kama unaelewa elewa Kama hutaki endelea kubisha
Robo fainali Uefa Ronaldo na Messi wamecheza michezo sawa
Lakini angalia magoli
Hivyo unaona Robo fainali
Ronaldo mechi 20 na Magoli 23
Messi mechi 20 na Magoli 10
Hebu angalia difference hiyo Halafu Mtetee Huyo Messi
Toka Robo njoo Nusu
Miaka yote hiyo nusu zote hizo ana magoli 4 tu nusu
Toka nusu njoo fainali
Fainali vile vile unaona anaachwa mbali na Ronaldo.
Toka huko njoo kwenye makundi Sasa, favourite ya Messi, anawaonea kweli kweli kwenye makundi,
Hawa ndio lionell Messi na Ronaldo, mmoja mkali wa hatua za Makundi na mwengine Mkali wa Mashindano yanapofika hatua tamu, wewe mwenyewe angalia hayo maneno uliyo yamark kwa red yapo sahihi ama la,
Halafu unafaa kujua kwamba Ronaldo anacheza nafasi gani na messi nafas gani.Yes nakupa na ushahidi Kama unaelewa elewa Kama hutaki endelea kubisha
Robo fainali Uefa Ronaldo na Messi wamecheza michezo sawa
Lakini angalia magoli
Hivyo unaona Robo fainali
Ronaldo mechi 20 na Magoli 23
Messi mechi 20 na Magoli 10
Hebu angalia difference hiyo Halafu Mtetee Huyo Messi
Toka Robo njoo Nusu
Miaka yote hiyo nusu zote hizo ana magoli 4 tu nusu
Toka nusu njoo fainali
Fainali vile vile unaona anaachwa mbali na Ronaldo.
Toka huko njoo kwenye makundi Sasa, favourite ya Messi, anawaonea kweli kweli kwenye makundi,
Hawa ndio lionell Messi na Ronaldo, mmoja mkali wa hatua za Makundi na mwengine Mkali wa Mashindano yanapofika hatua tamu, wewe mwenyewe angalia hayo maneno uliyo yamark kwa red yapo sahihi ama la,
Unaelewa maana ya wastani Goli 8.3 inamaana kwa ligi mechi 38 wastani anafunga Goli 8.3x38 ambazo ni sawa na Goli 315 kwa mwaka kwa ligi tupu, Hakuna kitu Kama hicho, umedanganya Hapo.Nilichokiandika mimi wakati nakujibu hicho kipengele nilicho ki-highlight kwenye comment yako ni tofauti na hiki ulichonijibu sasa hivi. Sasa sijui umesoma hili unijibu bila kujipa muda wa kuelewa unachokijibu.
Hakuna sehemu mimi nimesema kuwa messi ni bora zaidi ya ronaldo kwenye hizo hatua ngumu unazozisema, bali mimi nimekupinga uliposema kuwa eti huwa anapotea na hafanyi lolote kwenye hatua ngumu za michuano mbali mbali. Huo ni uongo na chuki za hali ya juu ulizonazo kwa messi, tena nimekukumbusha kabisa na fainali mbili za michuano mikubwa kabisa kwa ngazi ya vilabu(barca vs man u 2009 & 2011)ambapo messi alifanya hayo makubwa unayotaka kuyaona. Zaidi ya hapo amekuwa mvp wa WC na hao wachezaji wanaojua kupambana michuano inapofika kwenye hatua ngumu wakishiriki michuano. Je, kuna kingine kinahitajika kuondoa haya madai yako? au mpaka uone amefunga goli kwenye fainali ya wc/copa america?
Halafu nakushangaa sana unaposema eti hatua fulani ni muhimu, hatua fulani sio muhimu. Hivi timu isipofanya vizuri kwenye makundi itafikaje kwenye hatua ya mtoano? ina maana unataka kutuaminisha kuwa hao wachezaji wengine akiwemo Ronaldo huwa kwenye hatua ya makundi wanapuuzia halafu timu zao zikishafika kwenye mtoano ndio wanakuwa serious au?
Naona hapo umeleta statistics zao ambazo zina husu magoli tu. Labda nikwambie tu mimi namkubali sana CR7 na sijawahi kumbeza, maana naamini kuna vitu anamzidi Messi kama ambavyo Messi nae ana vitu vyake anavyomzidi.
Binafsi nikipangiwa kati ya hao wawili nimchukue nani nimuache nani, uchaguzi wangu utakuwa kama ifuatavyo;
Kama nahitaji magoli nitamchukua CR7 maana ni super scorer, kwenye mazingira yoyote yale unategemea atafunga tofauti na messi ambayo kuna mipira mingine hawezi kuicheza ukijumlisha na mambo kama physical strength.
Kama nahitaji playmaker obvious hapa lazima nimchukue Lapulga, na ukweli ulio wazi katika ulimwengu wa mpira wa miguu huyu kiumbe anaitendea haki sana nafasi hiyo haijapata kutokea before. Tofauti kabisa na ronaldo ambaye tangu aondoke man u amekuwa ni mtu wakucheza ndani ya 18-box ya wapinzani kwa muda wote anapokuwa uwanjani.
Ukiniuliza overall nimchukue nani? i will straightly go to Messi.
Halafu hapo kwenye statistics zako usisahau kuwa messi ana wastani wa goli 8.3 kwa mechi tangu aanze dhidi ya C.Ronald mwenye 6.7 tangu aanze kucheza.
Unaelewa maana ya wastani Goli 8.3 inamaana kwa ligi mechi 38 wastani anafunga Goli 8.3x38 ambazo ni sawa na Goli 315 kwa mwaka kwa ligi tupu, Hakuna kitu Kama hicho, umedanganya Hapo.
Na kupotea anapotea kweli michuano inavyopanda siongelei tu ufungaji wa magoli naongelea kila kitu, mfano mzuri chukulia Mashindano recently ya copa america, Mechi ya Kirafiki wakaanza na Nicaragua wakashinda 5 Messi katupia Goli za kutosha man of the match yeye.
Wakakutana na timu kubwa Colombia hakujulikana alipo, Kwenye Paraguay na Qatar akakiwasha Tena, kuja Baadae mtoano mechi Kama Brazil na Chile anaishia kulalamikia tu waamuzi.
Same hio world cup Uliyosema makunda kakiwasha kweli magoli 4, kuanzia Robo mpaka fainali kapotea ambapo walicheza na timu Kama Ubelgiji, uholanzi na Ujerumani.
Hebu mkuu imagine mwenyewe mtu ana Goli 112 champions League, ila 16 tu ndio hatua ngumu (Robo kupanda)
Na Mimi vile vile Wala si Messi Wala Ronaldo ambaye yupo Hata top 3 ya wachezaji wangu Bora, am just presenting stats zangu Kutoa hype zinazoendelea