Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Wamepita Kama best loser thanx to Ronaldo mechi ya mwisho 3-3 Ronaldo katupia 2 na assist 1 akaiwezesha kuvuka makundi.Na ukija ktk EURO ndio kabbisa Portugal ilipita km best looser mkuu
Then mtoano pia mechi zote tatu za 16 Bora, robo na Nusu Ronaldo alikuwa na mchango mkubwa Sana kuanzia Effort yake Goli la Quaresma vs Croatia Hadi Goli na assist vs Wales mechi ya nusu.