Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
hata aweje man utd hatumtaki
hatuna mpango yyt kati yao, sio r7 no messi. sisi man utd tunakiu si yao hawo masharo uharo
messi kwa nini hafanyi vizur argentina timu y taifa?
Hivii unajua kweli wamepishana umri gani????
ulitaka afanyeje hata kuifikisha timu final ha hiyo finala uliona jinsi greman walivyopata tabu hata wakawashinda goli moja katika extra timehatuna mpango yyt kati yao, sio r7 no messi. sisi man utd tunakiu si yao hawo masharo uharo
messi kwa nini hafanyi vizur argentina timu y taifa?
Hivii unajua kweli wamepishana umri gani????
hatuna mpango yyt kati yao, sio r7 no messi. sisi man utd tunakiu si yao hawo masharo uharo
messi kwa nini hafanyi vizur argentina timu y taifa?
Messi siyo mchezaji wa kucheza Carling cup, FA na makombe mengine ya ajabuajabu. Yeye ni UCL
Game NNE goal 7. Na bado
Kwa kuweka unazi pembeni, hata Christiano Ronaldo anajua huyu dogo ni wa sayari nyingi. Tofauti ya magoli ilikuwa sijui kumi na ngapi.. leo anampumulia mgongoni.. na akimpita hamkamati!
Wote ni wazuri, wote wanazibeba timu zao. lakini Messi yuko very flexible, mpira kwake ni starehe sio mashindano akifunga poa akikosa poa.
Lakini huyu shalobaro Ronaldo mpira kwake ni vita,, akinyimwa pasi ya kufunga anavyolalamika utafikiri kapunguziwa siku za kuishi.. Kinachomnyima usingizi ni umri...
Miaka inazidi kuyoyoma wakati Messi ndiyo kwanza kama wajuzi!!
Messi siyo mchezaji wa kucheza Carling cup, FA na makombe mengine ya ajabuajabu. Yeye ni UCL
Game NNE goal 7. Na bado
Kumlinganisha messi na CR 7 ni sawa kumchukua mwanafunzi amabae anapiga msuli saana kwa ajili ya pepa (CR 7) na mwanafunzi ambaye yeye pepa likija mda wowote anafanya (messi)a.k.a messi ni genious! CR 7 ni mtu wa misuli saana!