Lionel Messi kiwango kimerudi

Lionel Messi kiwango kimerudi

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
8,581
Reaction score
15,618
Kapiga hat trick, kwenye ushindi mnono wa 5-0 dhidi ya Levante.

Jamaa siku za karibuni yupo on fire sana. Mpaka sasa anatofauti ya goli 1 amfikie CR7
 
Dogo huwa ni hatari tu. Na huwa anachezà entertaining (leisure) football hasimu wake hucheza physical
 
Kwa kuweka unazi pembeni, hata Christiano Ronaldo anajua huyu dogo ni wa sayari nyingi. Tofauti ya magoli ilikuwa sijui kumi na ngapi.. leo anampumulia mgongoni.. na akimpita hamkamati!

Wote ni wazuri, wote wanazibeba timu zao. lakini Messi yuko very flexible, mpira kwake ni starehe sio mashindano akifunga poa akikosa poa.

Lakini huyu shalobaro Ronaldo mpira kwake ni vita,, akinyimwa pasi ya kufunga anavyolalamika utafikiri kapunguziwa siku za kuishi.. Kinachomnyima usingizi ni umri...

Miaka inazidi kuyoyoma wakati Messi ndiyo kwanza kama wajuzi!!
 
Hatuna mpango na yeyote kati yao, sio r7 no messi. sisi man utd tunakiu si yao hawo masharo uharo

messi kwa nini hafanyi vizur argentina timu y taifa?
 
Kumlinganisha messi na CR 7 ni sawa kumchukua mwanafunzi amabae anapiga msuli saana kwa ajili ya pepa (CR 7) na mwanafunzi ambaye yeye pepa likija mda wowote anafanya (messi)a.k.a messi ni genious! CR 7 ni mtu wa misuli saana!
 
MFUKUZI

Hakika umenena Mkubwa! Yule dogo ni shidaaaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
MFUKUZI

Hivii unajua kweli wamepishana umri gani?
 
Last edited by a moderator:
Hivii unajua kweli wamepishana umri gani????

Nashukuru kwamba unakiri kuwa wamepishana.... So hiyo sio hoja tena kwa maana tunakubaliana kwamba Christiano ni mkubwa kwa Leonel.. Ungeuliza ninamaana gani kusema Mesi wa juzi ili hali CR7 umri unayoyoma..

Hebu tafakari endapo CR7 akae nje msimu mzima au nusu msimu.. hiyo tofauti ya magoli na record zilizovunjwa na messi itakuaje..??? Then ukipata jibu.. utajua namaanisha nn//
 
hatuna mpango yyt kati yao, sio r7 no messi. sisi man utd tunakiu si yao hawo masharo uharo

messi kwa nini hafanyi vizur argentina timu y taifa?
ulitaka afanyeje hata kuifikisha timu final ha hiyo finala uliona jinsi greman walivyopata tabu hata wakawashinda goli moja katika extra time
 
Hivii unajua kweli wamepishana umri gani????

Team CR7 mmeshapata kisingizio kingine. Juzi CR7 alivyoshinda Ballon D'or mkamkweeeza sasa kachemsha mnaanza kusingizia umri, umri wenyewe utafikiri wamepishana miaka 100 kumbe miaka 3 tu.
 
Kwa kuweka unazi pembeni, hata Christiano Ronaldo anajua huyu dogo ni wa sayari nyingi. Tofauti ya magoli ilikuwa sijui kumi na ngapi.. leo anampumulia mgongoni.. na akimpita hamkamati!

Wote ni wazuri, wote wanazibeba timu zao. lakini Messi yuko very flexible, mpira kwake ni starehe sio mashindano akifunga poa akikosa poa.

Lakini huyu shalobaro Ronaldo mpira kwake ni vita,, akinyimwa pasi ya kufunga anavyolalamika utafikiri kapunguziwa siku za kuishi.. Kinachomnyima usingizi ni umri...

Miaka inazidi kuyoyoma wakati Messi ndiyo kwanza kama wajuzi!!

ukweli mtupu mkuu, Ronaldo anacheza mpira kwa maslahi yake binafsi tofaut na Messi.
Ronaldo anaweza akakabika kwa wepesi sana lakini sio Messi.
Ronaldo ukimkaba hata nafasi ya kusababisha goli hatoi, Messi hata umkabeje lazima awafanyie kitu wapinzani.
 
Kumlinganisha messi na CR 7 ni sawa kumchukua mwanafunzi amabae anapiga msuli saana kwa ajili ya pepa (CR 7) na mwanafunzi ambaye yeye pepa likija mda wowote anafanya (messi)a.k.a messi ni genious! CR 7 ni mtu wa misuli saana!

ha ha ha ha ha ha ha atakaepinga hapa aanze kuangalia tena mpira na kuufatilia kwa makini hususani kwa Messi na Ronaldo.
 
Back
Top Bottom