Chaos Master
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 636
- 1,310
Lionel Messi kuhusu kuwaheshimu makocha ambao hawajawahi kumfundisha:′′ ingawa nawaheshimu makocha wote wa mpira wa miguu, lakini naweka heshima maalum kwa Jose Mourinho na Sir Alex Ferguson.
Sir Alex alinikumbatia na kunibusu kwenye paji langu la uso kwa hisia baada ya kuifunga timu yake ya Manchester United katika fainali ya Ligi ya Mabingwa. Aliongea kwa hisia japo sikumwelewa sababu aliongea kiingereza, lakini uso wake ulionyesha kukubali kile nilichofanya.
Kuhusu Jose Mourinho:" nampenda sana na hunifanya nicheke kila nikikutana nae au ninapokwenda kukutana na timu zake, huwa anakuja na kitu cha kunichekesha. Akiwa Real Madrid, timu zetu zikiwa zinafanya warming up kabla ya mechi alikuja na kuniambia, Hey Lionel Messi, umevaa jezi mbaya na uko timu mbaya vile vile.
Nenda dressing room jipatie jezi nyeupe ya Real Madrid uungane na Cristiano mazoezini, wachezaji wote walicheka sababu alinivuta mkono hadi kwenye wachezaji wa Real Madrid walipokuwa wanafanyia warming up. Baada ya mechi niliifunga Madrid na kunivuta kando na kuongea kitu ambacho siwezi mwambia mtu japo alinifurahisha, Kila nilipokuwa nikicheza na timu zake iwe Inter au Real Madrid, yeye ni mcheshi sana lakini pia ni mtu mwema."