Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Wapi amemdiss Messi???Kuna mbuzi Moja inaabudiwa huko uarabuni Sasa hivi wanaivailisha Yale mahijabu ya kiume eti kuitangaza dini na kabila ndio kwisha habari yake hizo promotion wanazompa na kum dis mess hazivuki maji. Bwana midevu bwanaaa!!!
Sio Ronaldo waarabu na midevu Yao ndio wanamdhiki kwenye mitandaoWapi amemdiss Messi???
Hapo sawa nilidhani unasema Ronaldo anamdiss Messi, kama mashabiki hata wa Messi bado wanamdiss Ronaldo.Sio Ronaldo waarabu na midevu Yao ndio wanamdhiki kwenye mitandao
BellinghamMsimi huu kiti kipo wazi atayeuwasha anaibeba mapema kazi kwao wazee wamestaafu
Watapasuka Kwa wivu [emoji16]Hongera sana Lionel Lapulga cuccitin Andres Messi. Kwenu sasa team Penaldo[emoji3]