Mchezaji ninaemkubali zaidi duniani
Ni unpredictable kuanzia chenga zake hadi magoli yake
Ndio mchezaj ambae nimemshuhudia asieweza kuwekewa man marking na mchezaji mmoja
Yaani inahitajika team work ili azuilike na ukitaka kuamini hilo waulize mabeki na viungo wa Real Madrid waliowahi kucheza againt Messi.