Lionel Messi ni Mungu wa mpira ulimwenguni na Cristiano Ronaldo ni Lucifa wa mpira duniani

Lionel Messi ni Mungu wa mpira ulimwenguni na Cristiano Ronaldo ni Lucifa wa mpira duniani

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Ukiona kitu chochote hadi ' Purely Talented and Charismatic Fella ' Mimi GENTAMYCINE nakipenda / nakikubali basi juu ya kwamba hata Malaika wa Mbinguni na Mwenyezi Mungu nae anakipenda na yupo pamoja nami.

Kitendo alichokifanya Lionel Messi usiku wa kuamkia leo na yale matendo ambayo amekuwa akiyafanya huko nyuma ni dhahiri kwamba Lionel Messi ni Mungu wa mpira hapa Ulimwenguni na yule ' mchezaji ' wa ' hovyo hovyo ' na anayebahatisha Christiano Ronaldo ni Lucifa / Shetani wa mpira hapa Duniani.

Ukiona GENTAMYCINE nakukubali jua ' umebarikiwa ' kweli na ukiona nakukataa / nakupuuza / nakudharau basi usipoteze muda kuhoji bali jua tu kwamba Wewe una matatizo pamoja na ' nuksi ' hivyo jipya.

Mpaka sasa sijaona Mtu mwenye ' Kipaji ' cha kipekee na aina yake kabisa kwa uchezaji Soka hapa Ulimwenguni kama Lionel Messi ' La Pulga ' na ifike wakati sasa wale wote ambao mlikuwa mnamchukia Messi sasa tafajarini upya na muungane na GENTAMYCINE katika kumpenda na kumkubali mwenye mpira wake Ulimwenguni Lionel Messi.

Kwa mtihani mgumu ambao Argentina imeupata jana leo natangaza rasmi na mapema kabisa kwamba katika Kombe la dunia la mwakani huko nchini Urusi iwe isiwe Timu ya Taifa ya Argentina ndiyo itatwaa / itachukua Ubingwa. Kama Argentina hii ya Lionel Messi haitochukuwa Ubingwa wa World Cup mwakani 2018 huko Urusi GENTAMYCINE naahidi hapa hapa kuwa nitaenda kupiga ' Selfie ' mubashara na wale ' Mamba ' wengi wanaopatikana katika Mto Ruaha kisha baadae ' wanitafune ' nipotee kabisa kama walivyopotea wengine.

I love Argentina
I love Lionel Messi
I hate Portugal
I hate Christiano Ronaldo

Nawasilisha.
 
87cc65fb419083e00d9b0fcae7d2e232.jpg

Huyu mwingine yuko busy anabebwa huko Morocco
 
87cc65fb419083e00d9b0fcae7d2e232.jpg

Huyu mwingine yuko busy anabebwa huko Morocco

Kuna ' tetesi ' duniani kwamba huyu ' Mbebwaji ' huwa ' anabebwa ' Kibaiolojia na Wanaume ' walioshiba ' kabisa duniani. Ngoja Team Mbebwaji waje Mkuu labda watakuwa na majibu ya kutosha Kwetu Sisi Team Kipaji toka Mbinguni / Lionel Messi.

Sijaona kama Lionel Messi Ulimwenguni.
 
La Pulga kwa mambo anayoufanyia mpira hapa aridhini, kila sifa utakayompa inakuwa bado unampunja tu, tusidanganyane, huyu jamaa hakuna sifa utakayompa ikakidhi na mambo ayafanyayo kwenye mpira, huyu ni wa kuachwa tu na si dhani kama atapatikana mbadara wake hapa aridhini.
 
We ni nani huo ni mtazamo wako tu

Mimi hujui kwamba Mimi nikipenda na Mungu nae anapenda na nikichukia basi hata Mungu nae huchukia hivyo hivyo? Watu wengi wenye mapenzi na Christiano Ronaldo huwa na ' matatizo ' makubwa ambayo pia ni magumu kutatulika. Ukitaka kuwa na furaha ya milele ungana na GENTAMYCINE katika kumpenda na kumkubali Lionel Messi.
 
Usitulazimishe tukubaliane na ushetani wako, wampendaa? Kafunge naye ndoa. Shenzi zako

Yameshakuwa haya Mkuu? Haya sawa kwakuwa nimesikia kuwa Christiano Ronaldo anapenda sana ' Wanaume ' wa ' Shoka ' kama GENTAMYCINE nipo tayari kufunga nae Ndoa Mimi nikiwa Mr na Yeye Mrs wangu. Vipi kwa hii hatua yangu Mkuu utafurahi na kuniunga mkono?

Sijaona kama Lionel Messi Ulimwenguni kwa sasa na itaichukua dunia miaka 5000 ijayo kuja kumpata ' Fundi ' kama Messi.
 
Naomba uahidi kuwa Argentina asipobeba kombe mwakani uje "nikuoe" maana hiyo ya mamba unachangamsha tu baraza hutaitekeleza hata kidogo.
Ukikubali tu nina uhakika wa kukupiga "goti" hapo mwakani maana Messi na Argentina yake nina hakika hawezi kupenya mbele ya German, Brazil wala France!
 
Back
Top Bottom