GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ukiona kitu chochote hadi ' Purely Talented and Charismatic Fella ' Mimi GENTAMYCINE nakipenda / nakikubali basi juu ya kwamba hata Malaika wa Mbinguni na Mwenyezi Mungu nae anakipenda na yupo pamoja nami.
Kitendo alichokifanya Lionel Messi usiku wa kuamkia leo na yale matendo ambayo amekuwa akiyafanya huko nyuma ni dhahiri kwamba Lionel Messi ni Mungu wa mpira hapa Ulimwenguni na yule ' mchezaji ' wa ' hovyo hovyo ' na anayebahatisha Christiano Ronaldo ni Lucifa / Shetani wa mpira hapa Duniani.
Ukiona GENTAMYCINE nakukubali jua ' umebarikiwa ' kweli na ukiona nakukataa / nakupuuza / nakudharau basi usipoteze muda kuhoji bali jua tu kwamba Wewe una matatizo pamoja na ' nuksi ' hivyo jipya.
Mpaka sasa sijaona Mtu mwenye ' Kipaji ' cha kipekee na aina yake kabisa kwa uchezaji Soka hapa Ulimwenguni kama Lionel Messi ' La Pulga ' na ifike wakati sasa wale wote ambao mlikuwa mnamchukia Messi sasa tafajarini upya na muungane na GENTAMYCINE katika kumpenda na kumkubali mwenye mpira wake Ulimwenguni Lionel Messi.
Kwa mtihani mgumu ambao Argentina imeupata jana leo natangaza rasmi na mapema kabisa kwamba katika Kombe la dunia la mwakani huko nchini Urusi iwe isiwe Timu ya Taifa ya Argentina ndiyo itatwaa / itachukua Ubingwa. Kama Argentina hii ya Lionel Messi haitochukuwa Ubingwa wa World Cup mwakani 2018 huko Urusi GENTAMYCINE naahidi hapa hapa kuwa nitaenda kupiga ' Selfie ' mubashara na wale ' Mamba ' wengi wanaopatikana katika Mto Ruaha kisha baadae ' wanitafune ' nipotee kabisa kama walivyopotea wengine.
I love Argentina
I love Lionel Messi
I hate Portugal
I hate Christiano Ronaldo
Nawasilisha.