Lionel Messi ni Mungu wa mpira ulimwenguni na Cristiano Ronaldo ni Lucifa wa mpira duniani

Mwambie unampenda akuowe blue..!
 
Ntasema nn wakaty shoga Mwenxie Ushatoa Siri ya mwenzio Sisi tunajua Jamaa Rijali mathalani Umetupa hilo wacha tulichunguze hilo na spati picha kama shoga kabeba Tuzo ya kiume ww Uloshindwa Ni hali gani [HASHTAG]#CheiChei[/HASHTAG]

Akhui jaribu kulichunguza ilo. Alafu utani tag.
 
Usitulazimishe tukubaliane na ushetani wako, wampendaa? Kafunge naye ndoa. Shenzi zako
Mpuuzi sana huyu jamaa eti ukiona nakukubali sijui nini----_- kwani ye nani?. Narudia tena mpuuzi sana huyu.
 
Mpuuzi sana huyu mtu.
 
Dah kwelii hizi ni kufuru

Unajiamini sana
 
Chelsea wangempuuza messi,kitendo cha kumsonga songa unakuwa kama unampandisha hasira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…