Callme Sally
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 218
- 206
mungu wenu yuwapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiii thread ilifia Wapy leo mwanaume wenu kabeba Ballon dor
Shoga sio??
Shoga sio??
Mwambie unampenda akuowe blue..!Ukiona kitu chochote hadi ' Purely Talented and Charismatic Fella ' Mimi GENTAMYCINE nakipenda / nakikubali basi juu ya kwamba hata Malaika wa Mbinguni na Mwenyezi Mungu nae anakipenda na yupo pamoja nami.
Kitendo alichokifanya Lionel Messi usiku wa kuamkia leo na yale matendo ambayo amekuwa akiyafanya huko nyuma ni dhahiri kwamba Lionel Messi ni Mungu wa mpira hapa Ulimwenguni na yule ' mchezaji ' wa ' hovyo hovyo ' na anayebahatisha Christiano Ronaldo ni Lucifa / Shetani wa mpira hapa Duniani.
Ukiona GENTAMYCINE nakukubali jua ' umebarikiwa ' kweli na ukiona nakukataa / nakupuuza / nakudharau basi usipoteze muda kuhoji bali jua tu kwamba Wewe una matatizo pamoja na ' nuksi ' hivyo jipya.
Mpaka sasa sijaona Mtu mwenye ' Kipaji ' cha kipekee na aina yake kabisa kwa uchezaji Soka hapa Ulimwenguni kama Lionel Messi ' La Pulga ' na ifike wakati sasa wale wote ambao mlikuwa mnamchukia Messi sasa tafajarini upya na muungane na GENTAMYCINE katika kumpenda na kumkubali mwenye mpira wake Ulimwenguni Lionel Messi.
Kwa mtihani mgumu ambao Argentina imeupata jana leo natangaza rasmi na mapema kabisa kwamba katika Kombe la dunia la mwakani huko nchini Urusi iwe isiwe Timu ya Taifa ya Argentina ndiyo itatwaa / itachukua Ubingwa. Kama Argentina hii ya Lionel Messi haitochukuwa Ubingwa wa World Cup mwakani 2018 huko Urusi GENTAMYCINE naahidi hapa hapa kuwa nitaenda kupiga ' Selfie ' mubashara na wale ' Mamba ' wengi wanaopatikana katika Mto Ruaha kisha baadae ' wanitafune ' nipotee kabisa kama walivyopotea wengine.
I love Argentina
I love Lionel Messi
I hate Portugal
I hate Christiano Ronaldo
Nawasilisha.
Ntasema nn wakaty shoga Mwenxie Ushatoa Siri ya mwenzio Sisi tunajua Jamaa Rijali mathalani Umetupa hilo wacha tulichunguze hilo na spati picha kama shoga kabeba Tuzo ya kiume ww Uloshindwa Ni hali gani [HASHTAG]#CheiChei[/HASHTAG]
Mpuuzi sana huyu jamaa eti ukiona nakukubali sijui nini----_- kwani ye nani?. Narudia tena mpuuzi sana huyu.Usitulazimishe tukubaliane na ushetani wako, wampendaa? Kafunge naye ndoa. Shenzi zako
Mpuuzi sana huyu mtu.KUT. :20:7
Usilitaje bure jina la BWANA, Mungu wako, maana BWANA hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure.
ISA. :48:11
Kwa ajili ya nafsi yangu, kwa ajili ya nafsi yangu, nitatenda haya; je! Litiwe unajisi jina langu? Wala sitampa mwingine utukufu wangu.
Dah kwelii hizi ni kufuruMimi hujui kwamba Mimi nikipenda na Mungu nae anapenda na nikichukia basi hata Mungu nae huchukia hivyo hivyo? Watu wengi wenye mapenzi na Christiano Ronaldo huwa na ' matatizo ' makubwa ambayo pia ni magumu kutatulika. Ukitaka kuwa na furaha ya milele ungana na GENTAMYCINE katika kumpenda na kumkubali Lionel Messi.
Chelsea wangempuuza messi,kitendo cha kumsonga songa unakuwa kama unampandisha hasira.La Pulga kwa mambo anayoufanyia mpira hapa aridhini, kila sifa utakayompa inakuwa bado unampunja tu, tusidanganyane, huyu jamaa hakuna sifa utakayompa ikakidhi na mambo ayafanyayo kwenye mpira, huyu ni wa kuachwa tu na si dhani kama atapatikana mbadara wake hapa aridhini.
Chelsea wangempuuza messi,kitendo cha kumsonga songa unakuwa kama unampandisha hasira.
Messi Messiah katika ubora wake
M.E.S.S.I
Cr,7Mungu wa mpira Ulimwenguni huyo Mkuu.