Lionel Messi ni Mungu wa mpira ulimwenguni na Cristiano Ronaldo ni Lucifa wa mpira duniani

Chizi wewe akili hakuna kabisa Mungu unamjua wewe
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]internet never forgets!!!
 
REST IN PEACE Mkuu Manake Naamini Hupo Tena Duniani Baada Ya Kutekeleza Ahadi Ya Kupiga Selfie na Mamba Wa Mto Ruaha.
[emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
REST IN PEACE

Yupo na mwenzio alijitupa kwenye mtu huko India.
 
Labda niseme ronaldo anajituma sana na ndio nachompendea ila hawezi na hatoweza kufikia UWEZO wa messi ila ameweza kufikia mafanikio ya messi na hta kumpita kwa hilo namheshimu ronaldo sana ila ukweli tuuseme tu haijalishi kiasi gani ronaldo ana stats bora kuliko messi ila messi as messi kiushawishi ndani ya uwanja ni mara 100 zaidi ya ronaldo hta ufundi tu messi kamuacha mbali sana ronaldo hyo hta mtoto mdogo anajua ila ronaldo anajituma tu hivyo msichukue mafanikio ya ronaldo ili kumlinganisha na messi ni matusi makubwa sana kwenye uwanja wa mpira
 
Upuuzi WA kukimbia na Mpira na kupigawatu chenga Ronaldo aliuacha zamani akiwa Man U. Kwasasa anacho Angalia ni kufunga tu, hatakama agusi Sana Mpira.
Mess anayoyafanya Leo, Ronaldo Alisha achananayo kitambo akiwa pale England. Amebadilisha ainayake ya uchezaji Kwa asilimia kubwa Sana.
Mambo ya vibaskeli Chenga Alisha achana nayo.
 

Cr7,zidane,de lima,requelme,pele ronaldinho n.k=King Messi
 
Reactions: PNC
Ruge alishasema heshimu sana Mungu na Technology....Wachezaji wengi vinara wanacheza league tofauti..Messi atoke hapo aende England ..Man city wanalo dau ..tuone atafunga kama kule kwa wapanya
 
Ruge alishasema heshimu sana Mungu na Technology....Wachezaji wengi vinara wanacheza league tofauti..Messi atoke hapo aende England ..Man city wanalo dau ..tuone atafunga kama kule kwa wapanya

Ligi ya mchangani akafanye nini? Yani atoke tim kubwa duniani aende epl? Watamlipa nini huko? Huyu mtu anahadhi kubwa kuliko mchezaji yeyote ulimwenguni so haendani na ligi za mchangani mkuu. Goodbye
 
Reactions: PNC
yule kibichwa habari nyingine jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…