Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]REST IN PEACE Mkuu Manake Naamini Hupo Tena Duniani Baada Ya Kutekeleza Ahadi Ya Kupiga Selfie na Mamba Wa Mto Ruaha.
Labda niseme ronaldo anajituma sana na ndio nachompendea ila hawezi na hatoweza kufikia UWEZO wa messi ila ameweza kufikia mafanikio ya messi na hta kumpita kwa hilo namheshimu ronaldo sana ila ukweli tuuseme tu haijalishi kiasi gani ronaldo ana stats bora kuliko messi ila messi as messi kiushawishi ndani ya uwanja ni mara 100 zaidi ya ronaldo hta ufundi tu messi kamuacha mbali sana ronaldo hyo hta mtoto mdogo anajua ila ronaldo anajituma tu hivyo msichukue mafanikio ya ronaldo ili kumlinganisha na messi ni matusi makubwa sana kwenye uwanja wa mpira*C. Ronaldo vs Messi in court*
Judge: Have any of you won the Golden ball?
Ronaldo: Yes, 5 times.
Messi: Yes, 5 times as well.
Judge: Have any of you won the Golden Boot?
Ronaldo: Yes, 4 times.
Messi: Same here.
Judge: How many individual trophies have you each won?
Ronaldo: 16.
Messi: 13.
Judge: Have any of you played for another club’s first team besides your current one?
Ronaldo: Yes! Sporting CP in Portugal first division and Manchester United in BPL.
Messi: No. Only Barcelona.
Judge: Have any of you won a title with your national team?
Ronaldo: Yes! We won Portugal’s first ever European Championship.
Messi: No.
Judge: How many goals have each of you scored for your respective teams?
Ronaldo: Should I count the goals I’ve scored for Man United and Sporting?
Judge: No. Only for Real Madrid.
Ronaldo: 427 goals in 421 appearances or 9 seasons.
Messi: 534 goals in 617 appearances or 14 seasons.
Judge: Who has scored more hat-tricks in La Liga?
Ronaldo: Me. 35 in La Liga.
Messi: Ronaldo has. I’ve scored 28.
Judge: Which is the most prestigious competition in club football?
Ronaldo: Champions League.
Messi: Champions League.
Judge: Have any of you won Champions League?
Ronaldo: Yes, 4 times in total with 2 different teams. Once with Man United and 3 times with Madrid.
Messi: Yes, 4 times as well with Barcelona only.
Judge: Who has scored more goals in the CL between the two of you?
Ronaldo: I’ve scored 114 goals in the CL.
Messi: I’ve scored 97.
Judge: Who has more assists between the two of you in the CL?
Ronaldo: I have 38.
Messi: Ronaldo has. I have 26.
Judge: Who has scored more goals in total in the CL finals?
Ronaldo: Me.
Messi: Ronaldo.
Judge: Which one of you have scored more free kicks?
Ronaldo: I have.
Messi: Ronaldo has.
Judge: Most goals with weak foot?
Ronaldo: Me, I think.
Messi: (Nods in agreement).
Judge: Most goals from outside of the box?
Ronaldo: Me.. again.
Messi: Ronaldo.
Judge: Who has scored more headers?
Ronaldo: Is that a serious question?
Messi: ...
Judge: Who has a better penalty conversion rate?
Ronaldo: I think I do. I’ve scored 82% of the penalties I’ve taken.
Messi: I’ve scored 77% of the penalties I’ve taken.
Judge: Which one of you have scored the most goals in total during your career?
Ronaldo: I think I have. 628 goals.
Messi: I’ve scored 595.
Judge: How many football records do each of you hold in total for both club and country?
Ronaldo: 146
Messi: 110
Judge: Well, after analyzing all of the facts that have been presented to me. I can only draw one conclusion when it comes to comparing you both as football players. That conclusion is that Ronaldo is the better player in almost every category. When it comes to goal scoring and accolades for both club and country, Ronaldo comes out on top. Messi, you are without a doubt Barcelona’s best player of all time. But certainly not the world’s best ever. That is clearly Ronaldo at the moment.
Messi: But I am younger than Ronaldo and haven’t played as many matches as him.
Judge: I understand that, but until you surpass his goal scoring records and win as many trophies both individually and collectively as he has, then Ronaldo will, according to the statistics, be considered as the best football player of all time. Until then, keep pushing on and you just might be able to achieve just as much as [emoji146]Ronaldo[emoji146]! [emoji106][emoji6]
Upuuzi WA kukimbia na Mpira na kupigawatu chenga Ronaldo aliuacha zamani akiwa Man U. Kwasasa anacho Angalia ni kufunga tu, hatakama agusi Sana Mpira.Labda niseme ronaldo anajituma sana na ndio nachompendea ila hawezi na hatoweza kufikia UWEZO wa messi ila ameweza kufikia mafanikio ya messi na hta kumpita kwa hilo namheshimu ronaldo sana ila ukweli tuuseme tu haijalishi kiasi gani ronaldo ana stats bora kuliko messi ila messi as messi kiushawishi ndani ya uwanja ni mara 100 zaidi ya ronaldo hta ufundi tu messi kamuacha mbali sana ronaldo hyo hta mtoto mdogo anajua ila ronaldo anajituma tu hivyo msichukue mafanikio ya ronaldo ili kumlinganisha na messi ni matusi makubwa sana kwenye uwanja wa mpira
Upuuzi WA kukimbia na Mpira na kupigawatu chenga Ronaldo aliuacha zamani akiwa Man U. Kwasasa anacho Angalia ni kufunga tu, hatakama agusi Sana Mpira.
Mess anayoyafanya Leo, Ronaldo Alisha achananayo kitambo akiwa pale England. Amebadilisha ainayake ya uchezaji Kwa asilimia kubwa Sana.
Mambo ya vibaskeli Chenga Alisha achana nayo.
Ruge alishasema heshimu sana Mungu na Technology....Wachezaji wengi vinara wanacheza league tofauti..Messi atoke hapo aende England ..Man city wanalo dau ..tuone atafunga kama kule kwa wapanya
MZEEE JARIBU UONE MAHABA YAKO KWA ARGENTINA
Ajaribu kujiua kwa muargentina kutokupata kombe la duniaHujasomeka mkuu! Uone ama uondoe?
Huu msimu wa L.Messi.. ana deni la Mfungaji wa muda wote UCL.Kuna maswali?