100%...ingawa sikumoja kidogo nipigwe na mashabiki Wa lucifa
Kipindi hicho labda alikuwa hajajua kushika keyboard na kuandika....muache.Ronaldo aliwafunga sweeden goli nne peke yake na kuwapeleka ureno brazil
Acha kukufuru mkuuUkiona kitu chochote hadi ' Purely Talented and Charismatic Fella ' Mimi GENTAMYCINE nakipenda / nakikubali basi juu ya kwamba hata Malaika wa Mbinguni na Mwenyezi Mungu nae anakipenda na yupo pamoja nami.
Kitendo alichokifanya Lionel Messi usiku wa kuamkia leo na yale matendo ambayo amekuwa akiyafanya huko nyuma ni dhahiri kwamba Lionel Messi ni Mungu wa mpira hapa Ulimwenguni na yule ' mchezaji ' wa ' hovyo hovyo ' na anayebahatisha Christiano Ronaldo ni Lucifa / Shetani wa mpira hapa Duniani.
Ukiona GENTAMYCINE nakukubali jua ' umebarikiwa ' kweli na ukiona nakukataa / nakupuuza / nakudharau basi usipoteze muda kuhoji bali jua tu kwamba Wewe una matatizo pamoja na ' nuksi ' hivyo jipya.
Mpaka sasa sijaona Mtu mwenye ' Kipaji ' cha kipekee na aina yake kabisa kwa uchezaji Soka hapa Ulimwenguni kama Lionel Messi ' La Pulga ' na ifike wakati sasa wale wote ambao mlikuwa mnamchukia Messi sasa tafajarini upya na muungane na GENTAMYCINE katika kumpenda na kumkubali mwenye mpira wake Ulimwenguni Lionel Messi.
Kwa mtihani mgumu ambao Argentina imeupata jana leo natangaza rasmi na mapema kabisa kwamba katika Kombe la dunia la mwakani huko nchini Urusi iwe isiwe Timu ya Taifa ya Argentina ndiyo itatwaa / itachukua Ubingwa. Kama Argentina hii ya Lionel Messi haitochukuwa Ubingwa wa World Cup mwakani 2018 huko Urusi GENTAMYCINE naahidi hapa hapa kuwa nitaenda kupiga ' Selfie ' mubashara na wale ' Mamba ' wengi wanaopatikana katika Mto Ruaha kisha baadae ' wanitafune ' nipotee kabisa kama walivyopotea wengine.
I love Argentina
I love Lionel Messi
I hate Portugal
I hate Christiano Ronaldo
Nawasilisha.
Mess choko tu
Duuuh why hate somebody you barely know?Ukiona kitu chochote hadi ' Purely Talented and Charismatic Fella ' Mimi GENTAMYCINE nakipenda / nakikubali basi juu ya kwamba hata Malaika wa Mbinguni na Mwenyezi Mungu nae anakipenda na yupo pamoja nami.
Kitendo alichokifanya Lionel Messi usiku wa kuamkia leo na yale matendo ambayo amekuwa akiyafanya huko nyuma ni dhahiri kwamba Lionel Messi ni Mungu wa mpira hapa Ulimwenguni na yule ' mchezaji ' wa ' hovyo hovyo ' na anayebahatisha Christiano Ronaldo ni Lucifa / Shetani wa mpira hapa Duniani.
Ukiona GENTAMYCINE nakukubali jua ' umebarikiwa ' kweli na ukiona nakukataa / nakupuuza / nakudharau basi usipoteze muda kuhoji bali jua tu kwamba Wewe una matatizo pamoja na ' nuksi ' hivyo jipya.
Mpaka sasa sijaona Mtu mwenye ' Kipaji ' cha kipekee na aina yake kabisa kwa uchezaji Soka hapa Ulimwenguni kama Lionel Messi ' La Pulga ' na ifike wakati sasa wale wote ambao mlikuwa mnamchukia Messi sasa tafajarini upya na muungane na GENTAMYCINE katika kumpenda na kumkubali mwenye mpira wake Ulimwenguni Lionel Messi.
Kwa mtihani mgumu ambao Argentina imeupata jana leo natangaza rasmi na mapema kabisa kwamba katika Kombe la dunia la mwakani huko nchini Urusi iwe isiwe Timu ya Taifa ya Argentina ndiyo itatwaa / itachukua Ubingwa. Kama Argentina hii ya Lionel Messi haitochukuwa Ubingwa wa World Cup mwakani 2018 huko Urusi GENTAMYCINE naahidi hapa hapa kuwa nitaenda kupiga ' Selfie ' mubashara na wale ' Mamba ' wengi wanaopatikana katika Mto Ruaha kisha baadae ' wanitafune ' nipotee kabisa kama walivyopotea wengine.
I love Argentina
I love Lionel Messi
I hate Portugal
I hate Christiano Ronaldo
Nawasilisha.
Nashangaa huyo kubahatisha matatu kelele utazan kabeba ndooRonaldo aliwafunga sweeden goli nne peke yake na kuwapeleka ureno brazil
Umelogwa mbuzi ww... Kabahatisha????Nashangaa huyo kubahatisha matatu kelele utazan kabeba ndoo
Tutakubishia vipi wakaty habary za kishoga hujua mashoga wenxie.. Let see ballon Dor atabeba naniYameshakuwa haya Mkuu? Haya sawa kwakuwa nimesikia kuwa Christiano Ronaldo anapenda sana ' Wanaume ' wa ' Shoka ' kama GENTAMYCINE nipo tayari kufunga nae Ndoa Mimi nikiwa Mr na Yeye Mrs wangu. Vipi kwa hii hatua yangu Mkuu utafurahi na kuniunga mkono?
Sijaona kama Lionel Messi Ulimwenguni kwa sasa na itaichukua dunia miaka 5000 ijayo kuja kumpata ' Fundi ' kama Messi.
Ndio!!!! Kama hajabahatisha inamana ni kawaida yake kwenye timu ya taifa kufanya hivo sasa mbona mna mnadi sana kama sio kabahatishaUmelogwa mbuzi ww... Kabahatisha????