Lionel Messi ni Mungu wa mpira ulimwenguni na Cristiano Ronaldo ni Lucifa wa mpira duniani

100%...ingawa sikumoja kidogo nipigwe na mashabiki Wa lucifa
a74cb1eafc6b4c1408817e55d5558f74.jpg

Nadhani unaweza ukaona hapo Mungu wa mpira Lionel Messi ameketi na Shetani ' Lucifa ' wa mpira Christiano Ronaldo amepiga magoti anaomba msamaha.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Ukiona kitu chochote hadi ' Purely Talented and Charismatic Fella ' Mimi GENTAMYCINE nakipenda / nakikubali basi juu ya kwamba hata Malaika wa Mbinguni na Mwenyezi Mungu nae anakipenda na yupo pamoja nami.

Kitendo alichokifanya Lionel Messi usiku wa kuamkia leo na yale matendo ambayo amekuwa akiyafanya huko nyuma ni dhahiri kwamba Lionel Messi ni Mungu wa mpira hapa Ulimwenguni na yule ' mchezaji ' wa ' hovyo hovyo ' na anayebahatisha Christiano Ronaldo ni Lucifa / Shetani wa mpira hapa Duniani.

Ukiona GENTAMYCINE nakukubali jua ' umebarikiwa ' kweli na ukiona nakukataa / nakupuuza / nakudharau basi usipoteze muda kuhoji bali jua tu kwamba Wewe una matatizo pamoja na ' nuksi ' hivyo jipya.

Mpaka sasa sijaona Mtu mwenye ' Kipaji ' cha kipekee na aina yake kabisa kwa uchezaji Soka hapa Ulimwenguni kama Lionel Messi ' La Pulga ' na ifike wakati sasa wale wote ambao mlikuwa mnamchukia Messi sasa tafajarini upya na muungane na GENTAMYCINE katika kumpenda na kumkubali mwenye mpira wake Ulimwenguni Lionel Messi.

Kwa mtihani mgumu ambao Argentina imeupata jana leo natangaza rasmi na mapema kabisa kwamba katika Kombe la dunia la mwakani huko nchini Urusi iwe isiwe Timu ya Taifa ya Argentina ndiyo itatwaa / itachukua Ubingwa. Kama Argentina hii ya Lionel Messi haitochukuwa Ubingwa wa World Cup mwakani 2018 huko Urusi GENTAMYCINE naahidi hapa hapa kuwa nitaenda kupiga ' Selfie ' mubashara na wale ' Mamba ' wengi wanaopatikana katika Mto Ruaha kisha baadae ' wanitafune ' nipotee kabisa kama walivyopotea wengine.

I love Argentina
I love Lionel Messi
I hate Portugal
I hate Christiano Ronaldo

Nawasilisha.
Acha kukufuru mkuu
Mungu mmoja tu na wala hana mfanano wake mkuu
 
Duuuh why hate somebody you barely know?
 
Mess hajawahi twaa Kombe la dunia. Mess alipewa tuzo ya mchezaji bora wa dunia badada ya aliyestahili Iniesta.

Mess anaweza kucheza maridadi akiwa Barcelonaila akiwa Argentina hatabiliki.

Zaidi ya yote Christiano ni mnyama wa Nyavu.
 
Ubora sawa ila umeandika kiushabiki zaidi au yawezekana mpira umefatilia matokeo ya mwisho ....
 
Yameshakuwa haya Mkuu? Haya sawa kwakuwa nimesikia kuwa Christiano Ronaldo anapenda sana ' Wanaume ' wa ' Shoka ' kama GENTAMYCINE nipo tayari kufunga nae Ndoa Mimi nikiwa Mr na Yeye Mrs wangu. Vipi kwa hii hatua yangu Mkuu utafurahi na kuniunga mkono?

Sijaona kama Lionel Messi Ulimwenguni kwa sasa na itaichukua dunia miaka 5000 ijayo kuja kumpata ' Fundi ' kama Messi.
Tutakubishia vipi wakaty habary za kishoga hujua mashoga wenxie.. Let see ballon Dor atabeba nani
 
Ndiyo messi na Ronald naye anajua pia angalieni nani ktk kikosi chake anawatu wazuri wanao mchezesha na mastaa ktk club zao
 
Kumsifia Messi na Argentina yake bila kuona kazi kubwa iliyofanywa na peru bila kumsahau Brazil mkuu utakua unakosea sana japo sipingi ubora wa Messi katika karne hii ya mpira ....
Jikumbushe msimamo wa kundi lao kabla ya kumpa sifa zake na mwishowe ujiulize kazi ya Messi imesaidiwa na miguu ya mvaa jezi no 11 wao au roho mbaya kimtazamo ya wabrazil japo peru na colombia ndo wanastahili pongezi zangu ...
Ikumbukwe ikimtoa Brazil chile alikujimilikisha nafasi yake ya tatu na Messi akiwa wa 6 ,Peru wa tano na Colombia wa 4 ....
 
Back
Top Bottom