Lionel Messi ni Mungu wa mpira ulimwenguni na Cristiano Ronaldo ni Lucifa wa mpira duniani

Ni sawa Ronaldo kachukua Euro sikatai lakini ninachotaka kusema ni kwamba Messi anakosa bahati katika fainali hizo zote pamoja na uzembe wa baadhi ya wachezaji wenzie kama vile Higuain alipokosa one against one mara mbili dhidi ya Neuer fainali ya 2014.Katika timu hata uwe unaujua mpira vipi huwezi kuibeba timu peke yako bila msaaada wa wachezaji wenzio kumi.Kama mfuatiliaji mzuri wa timu ya taifa ya Argentina Messi anajitolea sana lakini kuna baadhi ya wachezaji wanamuangusha.Messi siyo malaika kusema atacheza vizuri makundi,round of 16,robo fainali,nusu fainali hadi fainali.At a certain point itabidi mtu mwengine afanye kitu endapo yeye ameshindwa kufanya kitu hata Ronaldo wakati anachukua Euro aliisaidia Ureno hadi nusu fainali kufika fainali kapata majeraha mapema kashindwa kuendelea na mchezo lakini wenzie hawakumuangusha tofauti na Argentina Messi anafanya kazi kubwa sana wakati wenzie wanajificha katika kivuli chake.
Katika hiyo list yako muondoe Uingereza hamna timu humo ni mkusanyiko wa wachezaji wenye majina makubwa tu na wanaopambwa na sky sports na vyombo vyao vyengine vya habari,hao zao mechi za kirafiki tu halafu never write off the likes of Spain na Belgium wana vikosi na timu nzuri.
 
Narudia tena Messi ni cha Mtoto kwa Ronaldinho. Na hata wachezaji wengi waliocheza nao au kuwaona wanasema hivyo. Usilete ubishi wa kijinga.

Soma post zangu 87 na 88 kama lugha inapanda.
Ronaldinho ana impact gani kubwa kwa timu ambayo amemzidi Messi, kama tunazungumza kuuchezea mpira basi ni kweli Gaucho yupo mbali mno, na hajamuacha Messi tu bali hakuna mwingine yoyote anayemkaribia Gaucho ktk eneo hilo.

Ila kama tunazungumzia Assists, Goals, Dribbling, Pass n.k naomba usimfananishe Messi na Gaucho. Messi ni mtu mwingine.
 
Hodari kwa kukata kiuno.
 
Hapo Ndiyo Utaamini Kama Mpira Ni Zaidi Ya Ufundi....
Hebu Tuviangalie Ulivyovitaja..

ASSISTS
GOALS
DRIBLLING
PASS

Hapo pia utakutia Kimpira Pana Kasoro ya Kimtazamo...

Henry Alifunga Magoli Mengi Kuliko Zidane! Je Henry Alikuwa Bora Kuliko Zidane?

Overmas Alikuwa ni Mkali Wa Dribbling Kuliko Beckamp! Je overmas alikuwa bora Kuliko Beckamp?

Henderson Anapiga Pasi Nyingi EPL kuliko Mchezaji Mwengine Yeyote yule EPL! Je Henderson ni Bora Kuliko Coutinho/Pogba/Kante/Matic?

K.D.Bruyne anatoa Assists Nyingi Kuliko Pogba! Je De Bruyne ni Bora Kuliko Pogba?

Mkuu Mpira unaangaliwa Kwa Mambo Mengi moja Ni Mfumo wa Timu, Position Ya Mchezaji, Na Style Ya Kocha mwenyewe!

Gaucho alivyocheza Chini Ya Rijdkad ni Tofauti na Falsafa anayochezeshwa Messi sasa...

Bado hujaleta Vigenzo sahihi vya Kumlinganisha MESSI na GAUCHO..

MY TAKE:
Mimi Sijui Kati ya MESSI na GAUCHO ni Nani Mkali! Ila Kimapenzi yangu Binafsi Basi Namkubali Gaucho yupo juu.
 
Kuongea ni rahisi mno. Hapo wa kumsumbua ARGENTINA ni ujerumani pekee. Waliobakia mmoja wao ataingia final na Argentina. kama sio Ujerumani__Spain au Italy.
 
Kuongea ni rahisi mno. Hapo wa kumsumbua ARGENTINA ni ujerumani pekee. Waliobakia mmoja wao ataingia final na Argentina. kama sio Ujerumani__Spain au Italy.

Spain??? Bado unaweweseka Na Akina Xavi na D. Villa??

Mkuu Argentina Ni Timu ya Kuwafunga Vibonde tu... Lakini Kwenye Wanaume Hasa basi Muengereza Hamuwezi....
 
Hapo ndio ukubali pele alikuwa na magoli mengi__Maradona alikuwa na magoli machache__pima mwenyewe nani alikuwa zaidi ya mwenzie???

Tukija kwa KING MESSI__Huyu kiumbe sioni sababu ya kumjadili kila siku wakati inajulikana kabisa ni mchezaji aliekamilika na dunia inamtambua kuwa yeye ndio baba la soka ulimwenguni. Wewe utabakia kila siku kusema "! Ila Kimapenzi yangu Binafsi Basi Namkubali Gaucho yupo juu" huo ni mtazamo wako mkuu hakuna aliekuingilia.Lakini wataalamu wa soka na wengi wa mashabiki duniani nikiwemo mimi BLACK P na most of them waliomo jamiiforrums na kwenye mitandao mingine tunamtambua kiumbe/Mfalme ni mmoja tuu kuwahi kutokea katika ulimwengu huu wa soka. Nae ni LEONEL ANDRES MESSI/LION MESSI.
 
Spain??? Bado unaweweseka Na Akina Xavi na D. Villa??

Mkuu Argentina Ni Timu ya Kuwafunga Vibonde tu... Lakini Kwenye Wanaume Hasa basi Muengereza Hamuwezi....

Huyo mwingereza atafanya nini kwa Argentina?? kama Belgium holland Switzerland ya akina shakur n.k zilinyukwa na Argentina 2014 mpaka anaingia final unafikili mchezo!! Ha ha ha ha Alaf unasema "ni timu ya kuwafunga vibonde"!!!

Holland ilikuwa timu nzuri sana__pamoja na hayo ni kwamba alitolewa na spain ambayo unaidharau, na hapo hapo unashabikia ligi zao na unazikubali.

Kwa brazil__Kama angelikuwa mwanaume asingeruhusu goli 7 kutoka kwa mjerumani mwenye roho mbaya. Huyo nae ni mwanaume?

Kwa Argentina__walijitahidi mno kuwabana wakoloni kwenye final_ na magoli mengi walikosa kwa uzembe wa Higuain__ dakika za lala salama wakapigwa goli moja na kisha mkoloni akabeba ndoo kwenye ardhi ya mwenyeji/brazil

Sasa hapo yupi mwanaume? Aliefungwa 7 kwao na akatolewa au aliefungwa 1 tena wote walikuwa home away???na Ball possession walitofautiana kidogo sana.
 
Nilichogundua Ni kuwa mashabiki wa Messi kamwe hawawezi kumsifia bila ya kumlinganisha na Cristiano Ronaldo.
Eti Cristiano anabahatisha!
Kwakweli it is so easy to judge football outside the pitch. anabahatishaje labda kupata Ballon d'Ors nne.

A true football lover acknowledges the contributions and achievements of these two legends.
Wana characters tofauti Sana na incomparable.
Wana strengths na weaknesses zilizowafikisha hapa walipo.

Kuwafananisha Messi na Cristiano ni sawa sawa na kufananisha moto na maji.
 
Kipofu kaona mwezi. Brazil ndo amewaokoa kima nyie.
Pointi yako haina mashiko Mkuu! Kila timu iliyofuzu ni kwa sababu nyingine haikufanya vizuri dhidi ya timu nyingine....hata kama Chile wangeshinda, Argentina ilikuwa bado na matumaini ya kufuzu kwani wangecheza "play off". Kitu ambacho wangeweza kufanya kama ambavyo Waliwafanyazia Equador.
 
Mkuu hapo Uingereza iondoe
 
Takwimu zinaonesha watu wanao tumia mkono au mguu wa kushoto huwa wana nguvu ya ziada katika kazi zao na siku zote wanaweza, mfano.

Obama
Messi
Rafael
Maradona
Mike Tyson
Quavo huncho
Kasoro giroud[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nimewaona wote lakini mtu mmoja wa kuitwa Ronaldinho atabaki kuwa fundi wa dunia kuliko wote uliowataja hapo.

Namuomba alipo top 10 huyo gaucho!!! Ukimpata mlete tumjadili hapa___i know that hayumo__so twendelee tu kujifurahisha without facts,evidence and statistics.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…