Lionel Messi ni Mungu wa mpira ulimwenguni na Cristiano Ronaldo ni Lucifa wa mpira duniani

Lionel Messi ni Mungu wa mpira ulimwenguni na Cristiano Ronaldo ni Lucifa wa mpira duniani

Ana vitu vingi sana vya kujifunza. Kwanza kujitambua yeye ni nani. Kama kiongozi wa timu na taifa linamuangaliaje. Mtu kama Messi hakuwa wa kukata tamaa mpaka kufikia kustaafu timu ya taifa kisa wamekosa ubingwa wa America. Mpaka aje abembelezwe ndio akubali.
Kama ulikuwa hujui jua kuanzia leo,Messi hakustaafu timu ya taifa kwa kukosa Copa America pekee alistaafu timu ya taifa kwasababu ameliongoza taifa kufika fainali nne na kupoteza zote hivyo kwake kama team captain aliona kwamba pengine yeye ndiyo kikwazo katika timu akaamua kuwapisha wengine nao wajaribu bahati yao.
 
e3e5bacc4f518cafb11d7916ee8b30e8.jpg

tuache number ziongee
 
Kama ulikuwa hujui jua kuanzia leo,Messi hakustaafu timu ya taifa kwa kukosa Copa America pekee alistaafu timu ya taifa kwasababu ameliongoza taifa kufika fainali nne na kupoteza zote hivyo kwake kama team captain aliona kwamba pengine yeye ndiyo kikwazo katika timu akaamua kuwapisha wengine nao wajaribu bahati yao.
Sasa na mimi ngoja nikwambie kama aliona yeye ni kikwazo angeachia u captain na sio kustaafu kabisa. Alikua anataka abembelezwe au. Messi ni mchezaji mzuri lakini bado huwezi kumfananisha na Ronaldo bhana. Muwekeni chini ajifunze wakubwa zake wanafanya nini au walifanya nini.

Hana roho roho ya paka anakata tamaa mapema mnoo.
 
Hata Emmanuel Okwi aliwafunga Ruvu goli 4

Hahaha am just joking , Jamani Mess apewe tu hiyo tuzo ya mchezaji bora maana Rinaldo anafunga magoli ya kuvizia ,ya penalty ya kuotea ,yaani hayana radha wakati huyo Messi magoli yake lazima akusanye kijiji cha mabeki

Hawezi kupewa hata kwa dawa...maana tayari ronaldo ameisha fanya makubwa kwa msimu wa 2016/2017 kaka, kombe la uefa mara mbili hatrik za kumwaga kwenye combe hilo. Laliga mkononi...Chamsingi mesi ajipange kwa mwaka ujao ila wote wawe makini maana kule PSG kuna Neymar, mbape na Calvan jamaa wanaweza kufunga na kuchukua chmpion ligi pia na kusababisha wakongwe wetu mesi na ronaldo ndo kuwa mwisho wao. Uzuri wa mchezo wa mpira ni ubishani na wivu.....LOL
 
Ukiona kitu chochote hadi ' Purely Talented and Charismatic Fella ' Mimi GENTAMYCINE nakipenda / nakikubali basi juu ya kwamba hata Malaika wa Mbinguni na Mwenyezi Mungu nae anakipenda na yupo pamoja nami.

Kitendo alichokifanya Lionel Messi usiku wa kuamkia leo na yale matendo ambayo amekuwa akiyafanya huko nyuma ni dhahiri kwamba Lionel Messi ni Mungu wa mpira hapa Ulimwenguni na yule ' mchezaji ' wa ' hovyo hovyo ' na anayebahatisha Christiano Ronaldo ni Lucifa / Shetani wa mpira hapa Duniani.

Ukiona GENTAMYCINE nakukubali jua ' umebarikiwa ' kweli na ukiona nakukataa / nakupuuza / nakudharau basi usipoteze muda kuhoji bali jua tu kwamba Wewe una matatizo pamoja na ' nuksi ' hivyo jipya.

Mpaka sasa sijaona Mtu mwenye ' Kipaji ' cha kipekee na aina yake kabisa kwa uchezaji Soka hapa Ulimwenguni kama Lionel Messi ' La Pulga ' na ifike wakati sasa wale wote ambao mlikuwa mnamchukia Messi sasa tafajarini upya na muungane na GENTAMYCINE katika kumpenda na kumkubali mwenye mpira wake Ulimwenguni Lionel Messi.

Kwa mtihani mgumu ambao Argentina imeupata jana leo natangaza rasmi na mapema kabisa kwamba katika Kombe la dunia la mwakani huko nchini Urusi iwe isiwe Timu ya Taifa ya Argentina ndiyo itatwaa / itachukua Ubingwa. Kama Argentina hii ya Lionel Messi haitochukuwa Ubingwa wa World Cup mwakani 2018 huko Urusi GENTAMYCINE naahidi hapa hapa kuwa nitaenda kupiga ' Selfie ' mubashara na wale ' Mamba ' wengi wanaopatikana katika Mto Ruaha kisha baadae ' wanitafune ' nipotee kabisa kama walivyopotea wengine.

I love Argentina
I love Lionel Messi
I hate Portugal
I hate Christiano Ronaldo

Nawasilisha.

wewe endelea tu na uchambuzi wa local team{yanga, simba, ccm} but global level ni mweupe sana.
the vibe is back.
 
Masuala ya ' Ukabila ' hapa yameingiaje tena? Hivi ni lini ' Wapumbavu ' wa aina yako wanaoendekeza masuala ya ' Ukabila ' watapungua kama siyo kuisha kabisa Tanzania?
Mna matatixo watu wa bara Lazima tuwape sure za hivo ili mtulie mana mnajifanya mnajua wakaty machoko tuu hamna mnalojua zaidi kuvua migebuka na sato Mtu wa huku hawezi andika ukima kama huo uloandika ww bola ukabila kuliko kufuru ulizoanza ww
 
Mtu wa ajabu sana ww, yani uwalazimishe watu kuamini maneno, ushabiki na mapenzi yako kwa jambo ambalo ni interest yako?!
Hakuna anayekataa Messi ni mchezaji wa kiwango cha juu kwa nafasi yake na pia Ronaldo ni mchezaji wa kiwango cha juu kwa nafasi yake.... Ww ni Mungu kwamba usipomkubali mtu ni dhambi kwa mtu mwingine kutokumkubali?!
 
Mtu wa ajabu sana ww, yani uwalazimishe watu kuamini maneno, ushabiki na mapenzi yako kwa jambo ambalo ni interest yako?!
Hakuna anayekataa Messi ni mchezaji wa kiwango cha juu kwa nafasi yake na pia Ronaldo ni mchezaji wa kiwango cha juu kwa nafasi yake.... Ww ni Mungu kwamba usipomkubali mtu ni dhambi kwa mtu mwingine kuro
 
Mna matatixo watu wa bara Lazima tuwape sure za hivo ili mtulie mana mnajifanya mnajua wakaty machoko tuu hamna mnalojua zaidi kuvua migebuka na sato Mtu wa huku hawezi andika ukima kama huo uloandika ww bola ukabila kuliko kufuru ulizoanza ww

Mbona hata katika Familia yako ' machoko ' ni wa ' kumwaga ' tu au leo unajisahaulisha? Nadhani Wewe utakuwa mgeni humu au una ugeni na hii ID hivyo nimeanza hapo kukukaribisha kidogo ili uendelee kujaa vizuri katika ' frame ' kusudi ukirudi nimalize Kazi rasmi tuheshimiane humu.

Nawapenda sana Watu jeuri na viburi kama Wewe na nimefurahi kufahamu kwamba kumbe na Wewe ni mmoja wapo. Utanyooka tu.
 
Akuheshimu nani fara tuu ww mwanaume unapenda kuchamba kama nn Sasa huo uwenyeji wako humu umekuingizia sh ngapi Yaan nkajua proud na nn kmb ufara tuu kushinda Mtandaoni with no benefit..Wacha nkupuuze siezi kaa kubishana na Machokko mtu anaejielewa hawezi Fanya utumbo kama wako Ili achambe wanaume wenxiee I got so many things to do So nimekupuuza mshindi ww Mwache mpumbavu awe mshindi mana naona Watu wote wamekupa ushindi na umefurahi nlipojitokeza ili kazi yako ya kuchamba iendelee
 
Back
Top Bottom