Lionel Messi ni zaidi ya mchezaji japo naichukia Barcelona

We mwongo mwongo huyo Beckham umemtaja vikosi vyote vya Madrid na Man U..ww n mbabaishaji tu kama mjomba ako shafii dauda..nipende kumaliza kwa kusema hiv Messi n balaaaa hakuna wa aiana ake baada ya pele,maradona,zidane,ronaldo de lema na gaucho
 
We mwongo mwongo huyo Beckham umemtaja vikosi vyote vya Madrid na Man U..ww n mbabaishaji tu kama mjomba ako shafii dauda..nipende kumaliza kwa kusema hiv Messi n balaaa hakuna wa aina yake baada ya pele, maradona, zidane,ronaldo de lema,na gaucho

Ebu ngoja.....Yani una maanisha hao wote ulowataja ni bora zaidi ya mfalme? Au sioni vizuri nivae miwani mkuu?
 
Vip mkuu umeamua kukimbia jukwaa la Barca na vp kuhusu Las PALMAS

Kaishiwa, baada ya jamaa yake kutolewa na zizzo sababu za kiufundi, kaona hana mchango wowote dhidi ya Las Palmas na dakika zinayoyoma....hivi tunaongea iceman kaenda kujaribu mbao fc kama itamfaa...
 
Reactions: PNC
Kaishiwa, baada ya jamaa yake kutolewa na zizzo sababu za kiufundi, kaona hana mchango wowote dhidi ya Las Palmas na dakika zinayoyoma....hivi tunaongea iceman kaenda kujaribu mbao fc kama itamfaa...
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Haiwezekani
Hivi messi hata akifikisha miaka 59 atacheza!!?
Siasa hizo
Nadhani ana maana ya kua ata akistafu ana uwezo wa kuendelea kuitumika barcelona katika upande mwingne wa uongozi au sekta yoyote ile pale pale barca.. lakini sio kucheza mpira maisha
King Leo...la pulga

0404
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…