Bencool
Member
- May 20, 2011
- 47
- 46
Hatarii nahis guardiola alikuwa anashangia kimoyomoyoFernandinho anashanga namna mtu anavyo tambaa hapo Bravo anasulubika [emoji137][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatarii nahis guardiola alikuwa anashangia kimoyomoyoFernandinho anashanga namna mtu anavyo tambaa hapo Bravo anasulubika [emoji137][emoji23][emoji23][emoji23]
nashangaa hapa unamsalimu mess ambae hata hukusikii wakati unaweek hujamsalimu hata kumpigia simu Babako hko kimbijiShikamoo messi
nashangaa hapa unamsalimu mess ambao hata hukusikii wakati unaweek hujamsalimu hata kumpigia simu Babako hko kimbiji
mkuu alikuwa Neur kwenye ubora wake na alichofanyiwa hasimulii vp van der sar alichofanyiwa sembuse huyo tena na hizi beki zetu MESSI atakuwa anakatiza kama hataki vile huku nyavu zikitikisika muda woteHuyu anafaa kumkuta de gea golini c hawa magolikipa uchwara
Alicheza kitandani kwake na mke wake. Sio lazima wote mcheze uwanjani.Jana yahya toure hakucheza ??
😀😀,na mimi namsalimu shikamoo Messi..
Alicheza kitandani kwake na mke wake. Sio lazima wote mcheze uwanjani.
Hakuna namna " Shikamoo messi"
∂є gєα [emoji87][emoji85][emoji86]Huyu anafaa kumkuta de gea golini c hawa magolikipa uchwara