Brazil hatrick
Switzerland Hattrick
Ecuador Hattrick
Panama Hattrick
Haiti Hattrick
Panama Hattrick
Guatemala Hattrick
Man city Hattrick
Celtic Hattrick
Arsenal Hattrick
Leverkusen Hattrick
Apoel Hattrick
Plzen Hattrick
Madrid mara kibao tu
Espanyol na matim kibao kawapiga na kuwaoa kabisa.
hivi huoni noma kujisifia kwa mechi za panama na Guatemala?
Brazil, Switzerland,ecuador, chile tim ndogo? Ila ya panama na haiti ndiyo umeona! Mbona humpi haki yake ktk tim kubwa alizokutananazo!
Basi sawa. Hata angefunga wc usingeridhika ungekuja na sababu zingine...kwaheri mkuu!ivi aliwahi funga hatrick ndani ya world cup? hatrick za mechi za vichochoroni alafu mbovu mnakuja kutusifia.
mkuu naona unakataa katakata kukubali japo ukweli unaufahamu..Angepiga hizo katika game na AS ROMA.....sio hao taiti wanaopigwaga 10
kwan hiyo ndo hat-trick yake pekee kimataifa??!!...kapiga timu nyingi tu kubwa..jaman mbona povu sana..tatizo hat-trick ama??hivi huoni noma kujisifia kwa mechi za panama na Guatemala?
Hivi Brazil,Switzerland, Chile, Peru navyo ni vichochoro....bac world cup inachezewa vichochoroni..ivi aliwahi funga hatrick ndani ya world cup? hatrick za mechi za vichochoroni alafu mbovu mnakuja kutusifia.