Lionel Messi scores a hat-trick as Argentina crashes Haiti 4-0

Lionel Messi scores a hat-trick as Argentina crashes Haiti 4-0

Brazil hatrick
Switzerland Hattrick
Ecuador Hattrick
Panama Hattrick
Haiti Hattrick
Panama Hattrick
Guatemala Hattrick

Man city Hattrick
Celtic Hattrick
Arsenal Hattrick
Leverkusen Hattrick
Apoel Hattrick
Plzen Hattrick
Madrid mara kibao tu
Espanyol na matim kibao kawapiga na kuwaoa kabisa.

hivi huoni noma kujisifia kwa mechi za panama na Guatemala?
 
Brazil, Switzerland,ecuador, chile tim ndogo? Ila ya panama na haiti ndiyo umeona! Mbona humpi haki yake ktk tim kubwa alizokutananazo!

ivi aliwahi funga hatrick ndani ya world cup? hatrick za mechi za vichochoroni alafu mbovu mnakuja kutusifia.
 
ivi aliwahi funga hatrick ndani ya world cup? hatrick za mechi za vichochoroni alafu mbovu mnakuja kutusifia.
Basi sawa. Hata angefunga wc usingeridhika ungekuja na sababu zingine...kwaheri mkuu!
 
hivi huoni noma kujisifia kwa mechi za panama na Guatemala?
kwan hiyo ndo hat-trick yake pekee kimataifa??!!...kapiga timu nyingi tu kubwa..jaman mbona povu sana..tatizo hat-trick ama??
 
ivi aliwahi funga hatrick ndani ya world cup? hatrick za mechi za vichochoroni alafu mbovu mnakuja kutusifia.
Hivi Brazil,Switzerland, Chile, Peru navyo ni vichochoro....bac world cup inachezewa vichochoroni..
 
Back
Top Bottom