LIONEL RICHIE: Mwamba na mtawala wa muziki wa Funk, Soul, Rhythm, Blues and country music

LIONEL RICHIE: Mwamba na mtawala wa muziki wa Funk, Soul, Rhythm, Blues and country music

Baada ya Commodores ku-hit big time Lionel Richie alienda kwenya dealership ya Mercedes Benz ili amnunulie kila member gari yake. Kufika pale na kujitambulisha muuza magari alikuwa anmshangaa anamuuliza umesema ni mwanamuziki wa band inaitwa 'commandos'? Richie akamwambia chukua hii namba ya governor wa bank of america mwambie Lionel Ritchie anataka kununua Benz hapa anaweza kulipa? Muuza magari kweli alipiga simu ila alibaki mdomo wazi baada ya governor kumwambia huyo ni nani!
Mkuu Lionel Richie asifahamike kwao Marekani? Masihara hayo 😂😂😂
 
Unawajua wazungu wewe? Unafikiri USA ni kama Tz wote mnamjua Diamond sijui Kiba. USA a lot of people dont give a fcuk! Hiki niklicoandika Lionel Ritchie alisimulia mwenyewe kwenye Top Gear akihojiwa na Jeremy Clarkson.
Ok mkuu, hiyo ilikuwa mwaka gani, maybe it was long time before he became a fame.
 
Kuna nyimbo zake mbili hujazitaja hapo mkuu, hebu zitafute uzisikilize utakuja kuniambia..
1. Just for you
2. Only you (The only one)
God was God
And dreams were dreams
Life was all cake and ice cream
Truth was true
And lies were lies
And we thought love would never die
But the world moved on
My illusions gone
And I don't know who to blame
Hii mistari kwenye hiyo ngoma ya just for you inapenya Hadi kwenye Kuta za ubongo yaani
 
Mwamba ni mjuzi wa kutunga nyimbo nzuri nzuri tu miaka yote.
1. My Destiny
2. All Night Long (All Night)
3. Love Will Conquer All
4. You Are
5. Say You, Say Me
6. Dancing On The Ceiling
7. Running With The Nignt
8. Penny Lover
9. Hello
10. Ballerina Girl
11. Se La
12. Love Oh Love
13. Truly
14. Do lt To Me
15. Three Times A Lady
 
Unawajua wazungu wewe? Unafikiri USA ni kama Tz wote mnamjua Diamond sijui Kiba. USA a lot of people dont give a fcuk! Hiki niklicoandika Lionel Ritchie alisimulia mwenyewe kwenye Top Gear akihojiwa na Jeremy Clarkson.
Mkuu umechanganya kidogo ambae alikua hamfahamu ni yule muuzaji wa magari kwenye ile car delership Lionel ndio alishangaa akamwambia mpigie simu ilikua Alabama nadhani kuwa awasiliane na LA's Bank of America President na si gavana...maana alikua anataka kununua Mercedes saba na anatakiwa awe na vielelezo(proof) muuzaji alianza kumwita Lionel Son baadae akamwita Mr Lionel
 
Habari ya mchana huu wakuu, leo nimekuja na historia ya huyu mwamba na mtawala wa aina mbali mbali za miziki laini, yan ile inayogusa mioyo ya mamilioni ya wapenzi wa miziki hapa duniani.

Aina hizo za miziki ni funk, soul, rhythm, blues and country.

Anaitwa Lionel Brockman Richie Jr (born June 20, 1949) huko Alabama, USA.

Lionel Richie ni miongoni mwa wasanii walioanza kuimba wakiwa na umri mdogo kabisa, ambapo yey alianza kujishughulisha na mziki akiwa na umri wa miaka 12 tu, na ni miongoni mwa waimbaji wenye kipaji cha uimbaji na utungaji.

Lionel Richie ana sauti ya pekee ambayo inaweza kumgusa mtu yoyote moyoni hata kama kile anachoimba haukielewi.
Ni mmoja kati ya wasanii wachache waliofanikiwa kuteka akili, na kugusa mioyo ya mamilioni ya watu mbali mbali duniani kutokana na ubora wa nyimbo zake, umaridadi wake, sauti yake na pia aina ya uimbaji wake.

Mnamo miaka ya 1985s Lionel Richie ndio alimshauri Michael Jackson kutunga ule wimbo wa "We Are the World" ili fedha zitakazopatikana katika wimbo ule ziweze kusaidia watoto wenye matatizo mbali mbali duniani kama vile yatima, wagonjwa na wale wenye uhitaji wa msaada.

Baadhi ya vibao vyake kati ya vyote vilivyo bora ni 👇

1) Endless love ft Diana Ross.
2) Ballerina girl.
3) Stuck on you.
4) Say you, Say me.
5) All Night Long.
6) We Are the World & Michael Jackson na wengine.

Kwa wale wazee wa miziki laini, nafikiri mnamjua vizuri mwamba huyu kwa sauti na uimbaji wake.

Kazi yake kubwa ni muimbaji, muandikaji wa nyimbo mbali mbali na ni mtungaji mahiri sana.

Karibuni wakuu tujadili na mengine mnayoyajua kumhusu mwamba huyu wa soft songs.
Ebwana thread zako huwa zinanigusa sana, mpaka mara nyingi huwa nakuja huku kuchungulia kama kuna chochote kipya ulichotuletea wana JF wenzako.
Lionel Richie is a GOAT mkuu, na hii ni moja kati ya nyimbo zake ninazozipenda sana.

Ballerina girl
You are so lovely
With you standing there
I'm so aware
Of how much i care for you

You are more than now
You are for always
I can see in you
My dreams come true
Don't you ever go away

You make me feel like
There's nothing i can't do
And when i hold you
I only want to say
I love you

Ballerina girl
The joy you bring me
Every day and every night
Holding you tight
How I've waited for your love

Sometimes I've wondered
If you'd ever come my way
Now that I've finally found you
This is where my heart will stay (oh - oh - oh)

I'm never gonna break ya heart
Never will we drift apart
Cause all i wanna do
Is share my whole life with you

Cause you make me feel
There's nothing i can't do
I guess i finally realized
There's nothing else like loving you (oh oh)
Ballerina girl
You are so lovely
I can see in you
My dreams come true
Don't you ever go away
 
Mkuu umechanganya kidogo ambae alikua hamfahamu ni yule muuzaji wa magari kwenye ile car delership Lionel ndio alishangaa akamwambia mpigie simu ilikua Alabama nadhani kuwa awasiliane na LA's Bank of America President na si gavana...maana alikua anataka kununua Mercedes saba na anatakiwa awe na vielelezo(proof) muuzaji alianza kumwita Lionel Son baadae akamwita Mr Lionel
Nimechanganya president na governor, okay. Niliangalia top gear a while ago.
 
1. My Destiny
2. All Night Long (All Night)
3. Love Will Conquer All
4. You Are
5. Say You, Say Me
6. Dancing On The Ceiling
7. Running With The Nignt
8. Penny Lover
9. Hello
10. Ballerina Girl
11. Se La
12. Love Oh Love
13. Truly
14. Do lt To Me
15. Three Times A Lady
Shukran zangu zikufikie popote ulipo mkuu.
 
Mkuu umechanganya kidogo ambae alikua hamfahamu ni yule muuzaji wa magari kwenye ile car delership Lionel ndio alishangaa akamwambia mpigie simu ilikua Alabama nadhani kuwa awasiliane na LA's Bank of America President na si gavana...maana alikua anataka kununua Mercedes saba na anatakiwa awe na vielelezo(proof) muuzaji alianza kumwita Lionel Son baadae akamwita Mr Lionel
Shukran mkuu kwa ufafanuzi huu 🙏
 
Back
Top Bottom