Really I didn't know this. Asante kwa kutufahamisha mtu wangu.Mwamba sana huyu na umri wake umeenda sasa, miaka 77 siyo aba.
Kibao chake cha All night long kilikubalika sana miaka hiyo hasa kutokana kipande cha maneno ya kiswahili yaliyowekwa kwenye wimbo huo. "Jambo nipe senti moja"