Lipa kidogo kidogo

Lipa kidogo kidogo

jaapstam

Member
Joined
Jan 10, 2017
Posts
27
Reaction score
29
Now days wafanya biashara wamekuja na mbinu mpya za kuuza bidhaa zao, wanakopesha the. Unalipa kdg kdg kwanzia pikipiki, bajaji simu nk, Sasa kwa anaejua wanapokopesha fridge au tv anipe location hapa dar
 
Vipi kuhusu vifaa vya ujenzi kama mabati na mbao? Wapi wanauza bidhaa hizi kwa mtindo huu?
 
Now days wafanya biashara wamekuja na mbinu mpya za kuuza bidhaa zao, wanakopesha the. Unalipa kdg kdg kwanzia pikipiki, bajaji simu nk, Sasa kwa anaejua wanapokopesha fridge au tv anipe location hapa dar
Nenda Magomen mapipa
 
Kiuchumi,hii lipa kdgkdg n kujiingiza kwenye matatizo ya kifedha.

Simu ya 300/250 unailipia mwaka mzima jumla ya kias cha 700/800 bythen kufkia muda huo bidhaa imeshaanza kuchoka.

Watanzania tujifunze kufanya mambo kwa kufkir hasa linapoja swala la fedha,mtu anafkir 2000 kila siku n ndgo kumbe inamaanisha 700+ kwa mwaka.

Kama mtu huna ulazima,hakuna sababu ya kujiingiza kweny mkopo wowote hasa kwa bidhaa isyozalisha.

Umaskin unaanzia kwenye mambo madogo madogo tunayofanya kila siku na kuyapuuza.
 
Back
Top Bottom