Allysalim51
New Member
- Jul 22, 2012
- 4
- 0
Habari zenu ndugu zangu.
Jamani naombeni ushauri natamani mambo mawili (2); yaanni kusoma na kufanya biashara sasa nashindwa kuamu lipi ni fanye lipi niache lakini nikaona ngoja nililete hapa kwenu mnisaidie mawazo yaliyoambatana na vigezo vya kuzingatia kila kipengele.
elim ni bora hasa kama una malengo yakinifuBill Gates, steve jobs, mark zuckernberg (owner wa fesbuk) wote hao wali-drop out college... to me unaweza soma kidogo afu ukipata mwanga wakile ukipendacho ktk biashara ingia ufanye!
nakushaur ukasome walau degree hasa ya bussiness matters(if u wish 2 a sussecful bussinessman) then ndo uelekee kwenye biashara..hpe it works...@allysalim51
Habari zenu ndugu zangu.
Jamani naombeni ushauri natamani mambo mawili (2); yaanni kusoma na kufanya biashara sasa nashindwa kuamu lipi ni fanye lipi niache lakini nikaona ngoja nililete hapa kwenu mnisaidie mawazo yaliyoambatana na vigezo vya kuzingatia kila kipengele.
Bill Gates, steve jobs, mark zuckernberg (owner wa fesbuk) wote hao wali-drop out college... to me unaweza soma kidogo afu ukipata mwanga wakile ukipendacho ktk biashara ingia ufanye!