Hii changamoto yake niniJichanganye ununue hiiitakula kwakoView attachment 3601195
Unafananisha Rolls Royce na haya magari ya umeme ya mchina? Kenwood brand kubwa. Hakikisha siyo Kenwood fake ya mchina lakini.... Nunua kwenye duka linaloeleweka unapewa na warrant. Siku hizi unaweza kuhakiki kifaa chako kwa kuingia kwenye official website za mtengenezaji.Kama kichwa cha habari kinavojieleza,ni ipi blender nzuri kati ya kenwood au mach one
Kama hii huwa ni bei ganiView attachment 3601193hizo originally
binafsi nilinunua 140k hivi, tangia 2020Kama hii huwa ni bei gani
Hamna brenda humo,hapo ndani pana mota ndogo sana,box kubwaJichanganye ununue hiiitakula kwakoView attachment 3601195
Kuna namna yoyote ya kujua ipi feki na ipi original?binafsi nilinunua 140k hivi, tangia 2020
usije jichanganya ukachukua zile copy
Inategemea na vitu vingi sanaKama kichwa cha habari kinavojieleza,ni ipi blender nzuri kati ya kenwood au mach one
Kama vipi?Inategemea na vitu vingi sana
1.je unataka options za kusaga vitu vigumu piaKama vipi?
Option 31.je unataka options za kusaga vitu vigumu pia
2..je unataka yenye options nyingi zaidi ya kusaga na kutengeneza juisi
3.je unataka iliyo imara na idumu muda mrefu
Chagua kenwoodOption 3