Lipi chaguo sahihi kati ya hizi blender: Kenwood au Mach one

Kama kichwa cha habari kinavojieleza,ni ipi blender nzuri kati ya kenwood au mach one
Unafananisha Rolls Royce na haya magari ya umeme ya mchina? Kenwood brand kubwa. Hakikisha siyo Kenwood fake ya mchina lakini.... Nunua kwenye duka linaloeleweka unapewa na warrant. Siku hizi unaweza kuhakiki kifaa chako kwa kuingia kwenye official website za mtengenezaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…