Hili ndio goli bora hadi sasa hivi1. Baleke goal la 2 Vs Ihefu..
2. Aziz Ki Goal la 2 Vs Kagera
3. Elias Maguli Vs KMC
Mimi: Elias Maguli
Kuna goal la sakho umelisahau1. Baleke goal la 2 Vs Ihefu..
2. Aziz Ki Goal la 2 Vs Kagera
3. Elias Maguli Vs KMC
Mimi: Elias Maguli
Umeambiwa wiki hii,na ligi kuu,sakho kafunga liniKuna goal la sakho umelisahau
Onesha palipo andikwa "wiki hii".Umeambiwa wiki hii,na ligi kuu,sakho kafunga lini
Mpuuzi huyo achana naeOnesha palipo andikwa "wiki hii".
Binti mbona unakurupuka sana? Wapi walipoandika "wiki hii" , mada sio yako kazi kulisha maneno watuUmeambiwa wiki hii,na ligi kuu,sakho kafunga lini
Mtoa Uzi ameshakujibu upinde wewe,asha shobo,utaliwaBinti mbona unakurupuka sana? Wapi walipoandika "wiki hii" , mada sio yako kazi kulisha maneno watu
Inaonekana mweupe sana kichwani,hauoni hayo magoli ni ya juzi tu na Jana,unakurupuka kiduanzi,sakhoo,utaliwaMpuuzi huyo achana nae
Ameandika wiki hii kama ulivyoandika wewe bint?Mtoa Uzi ameshakujibu upinde wewe,asha shobo,utaliwa
Kuna goli Apo sio la wiki hii?kilazaAmeandika wiki hii kama ulivyoandika wewe bint?