Lipi Goli Bora kati ya Haya matatu (3) NBC PL

Lipi Goli Bora kati ya Haya matatu (3) NBC PL

Hardlife

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2021
Posts
2,758
Reaction score
6,299
1. Baleke goal la 2 Vs Ihefu..

2. Aziz Ki Goal la 2 Vs Kagera

3. Elias Maguli Vs KMC


Mimi: Elias Maguli
 
Yote ni MAGOLi Bora kabisa.

Lakini Kuna goli Bora zaidi....

Goli Bora la mashindano
 
Kuna goal la sakho umelisahau
Hata kama yapo zaidi ya hayo mie nimechagua hayo matatu ambayo yamefungwa hivi karibuni. Na nimesema NBC PL tu. Maana tumeshuhudia magoli matamu sana juzi na jana.
 
Angekuwa katika hizi timu 2 pendwa hilo goli lingeimbwa msimu mzima. Maana amefunga katika mazingira magumu sana.
1. Yupo na beki
2. Angle imekuwa ndogo
3. Goalkeeper kafanya Goal kuwa dogo.
4. Nje ya Box
 
Back
Top Bottom