Lipi hupendi mpenzi wako afanye ... ? Mimi ni hili .. we je?

nahisi wewe ni pacha wangu wa moyoni, hata mimi sipendi hii tabia....... SIPENDIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII

Hahahaaa... Chaminglady kumbe na wewe hupendi!! Inakera sana kwa kweli!
 
sipendi kabisa anidanganye
sipendi aongee na wadada wengine hata kuwasalimia mi sitaki kabisa yani,kupigiana nao simu( labda wa kazini au mambo ya kiofisi) vinginevo sitaki kabisaaaaaaa

mY X-Mkemwenza mzima mamito, sasa hupendi hata akiongea na xulmates wenzie??? je akikutana nao njian auchune? je wewe unaweza usifanye hivo yan xul mates wako ukawachunia?
 
Dah!Nahisi hapa sihusiki kabisa!Hakuna mwanadam wa aina moja,akipatikana hawezi kuishi na yoyote!
 
Sipendi mpenzi wangu awe busy tukiwa pamoja, mara simu, mara sms, mara yuko jf, mara cjui nina assignment kazini.. me huwa naondoka kha! napenda kama tunakuwa wote anapay attention na mimi yaaan anakuwa busy na mimi tu..... ukizingatia hatuishi pamoja tunaonana kimachale let say w-ends tu ndo tunakwua na muda mrefu wa kuonana, kupiga story ila sijui nina kazi, MARA CM, MARA SMS, MARA CJUI MADOU DOU GANI YASIYO NA MSINGI... SIPENDIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
 
Jamani kuna kitu sipendi mpaka baasi... Unamtext msg nzuri tena ya mahaba halafu anachelewa kujibu au wakati mwingine anauchuna utadhani hajaiona ..Huwa nasikia maumivu sana.. Yaani moyo wangu huwa utadhani unaungua moto kwa maumivu..SIPEEENDI!

Kwanza hii ni tabia ya wanawake,halafu mtu ukiona hapendi jambo fulani jua yeye ndo analifanya sana!
 
nahisi wewe ni pacha wangu wa moyoni, hata mimi sipendi hii tabia....... SIPENDIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII

Hivi unakumbuka uliwahi kuleta uzi hapa ukiwashauri wadada wayafane haya haya?Unadhani kama wewe huyapendi nani anayapenda?
 
Kwanza hii ni tabia ya wanawake,halafu mtu ukiona hapendi jambo fulani jua yeye ndo analifanya sana!

Eiyer... Honestly mimi siko hivyo na kwa kifupi napenda sana kuwasiliana na mpenzi wangu kwa sms na mara nyingi mimi ndio humuanza..! Kama nilivyosema akichelewa kunijibu naumia sana...
 
sipendi Kaizer anaposoma huu uzi maana amekaa muda sana sipendi kabisaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Tutor B, mi napenda kila kitu anachofanya kama navyompenda yeye ati!
 
Jamani kuna kitu sipendi mpaka baasi... Unamtext msg nzuri tena ya mahaba halafu anachelewa kujibu au wakati mwingine anauchuna utadhani hajaiona ..Huwa nasikia maumivu sana.. Yaani moyo wangu huwa utadhani unaungua moto kwa maumivu..SIPEEENDI!
dah....!!! aisee neylu hapa umenigusa kabisa...!! mimi huwa najihisi kama pumzi zinaniishia na oyo unalipuka kwa maumivu...
 
dah....!!! aisee neylu hapa umenigusa kabisa...!! mimi huwa najihisi kama pumzi zinaniishia na oyo unalipuka kwa maumivu...

Jamaani kumbe tuko wengi... Inaumiza sana
 
Kumbe Kaizer ndo la-azizi wako? Mambo mswano!
kwani ndio nimemaanisha hivyo mbona sijui kamanilimaanisha hivyo na kama nilimaanisha hivyo sijui kwanini mimi nilimaanisha kakaamuda mrefu kwenye hii thread jamani du
 
Eiyer... Honestly mimi siko hivyo na kwa kifupi napenda sana kuwasiliana na mpenzi wangu kwa sms na mara nyingi mimi ndio humuanza..! Kama nilivyosema akichelewa kunijibu naumia sana...

Hongera,lakini kwenye suala la kujibu sms,wanawake ni wa hovyo sana!
 
sipendi Kaizer anaposoma huu uzi maana amekaa muda sana sipendi kabisaaaaaaaaaaaaaaaa

Makubwa! nivea umejuaje nimekaa muda mrefu? Ulitaka nitie neno? Afu sipendi usivojibu pm zangu....
 
Last edited by a moderator:
Charminglady
Kwa jinsi mlivyo kweli hiyo inaboa. Unapotenga let say a day / night ku-spend na la-aziz wako inabidi uwe naye benet! Ila sometimes mambo ya kazi yanaweza kujiingiza, hivyo inakubidi uwe mwelewa kadadaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…