Neylu
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 2,938
- 1,844
nahisi wewe ni pacha wangu wa moyoni, hata mimi sipendi hii tabia....... SIPENDIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
Hahahaaa... Chaminglady kumbe na wewe hupendi!! Inakera sana kwa kweli!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nahisi wewe ni pacha wangu wa moyoni, hata mimi sipendi hii tabia....... SIPENDIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
sipendi kabisa anidanganye
sipendi aongee na wadada wengine hata kuwasalimia mi sitaki kabisa yani,kupigiana nao simu( labda wa kazini au mambo ya kiofisi) vinginevo sitaki kabisaaaaaaa
Jamani kuna kitu sipendi mpaka baasi... Unamtext msg nzuri tena ya mahaba halafu anachelewa kujibu au wakati mwingine anauchuna utadhani hajaiona ..Huwa nasikia maumivu sana.. Yaani moyo wangu huwa utadhani unaungua moto kwa maumivu..SIPEEENDI!
nahisi wewe ni pacha wangu wa moyoni, hata mimi sipendi hii tabia....... SIPENDIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
Kwanza hii ni tabia ya wanawake,halafu mtu ukiona hapendi jambo fulani jua yeye ndo analifanya sana!
dah....!!! aisee neylu hapa umenigusa kabisa...!! mimi huwa najihisi kama pumzi zinaniishia na oyo unalipuka kwa maumivu...Jamani kuna kitu sipendi mpaka baasi... Unamtext msg nzuri tena ya mahaba halafu anachelewa kujibu au wakati mwingine anauchuna utadhani hajaiona ..Huwa nasikia maumivu sana.. Yaani moyo wangu huwa utadhani unaungua moto kwa maumivu..SIPEEENDI!
dah....!!! aisee neylu hapa umenigusa kabisa...!! mimi huwa najihisi kama pumzi zinaniishia na oyo unalipuka kwa maumivu...
kwani ndio nimemaanisha hivyo mbona sijui kamanilimaanisha hivyo na kama nilimaanisha hivyo sijui kwanini mimi nilimaanisha kakaamuda mrefu kwenye hii thread jamani duKumbe Kaizer ndo la-azizi wako? Mambo mswano!
Eiyer... Honestly mimi siko hivyo na kwa kifupi napenda sana kuwasiliana na mpenzi wangu kwa sms na mara nyingi mimi ndio humuanza..! Kama nilivyosema akichelewa kunijibu naumia sana...
Hongera,lakini kwenye suala la kujibu sms,wanawake ni wa hovyo sana!