CORAL
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 2,813
- 1,827
Mimi mgeni.....
....hapa JF lakini sio katika mapenzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi mgeni.....
Sipendi mpenzi wangu ajisikie vibaya kusema amekwama kifedha.. Kwa kisingizio kuwa atakuwa amejishusha kupewa pesa na mwanamke..
mie sitaki anibwagie manguo yake nifue.....kila mtu afue zake.
Nina maana ni wazembe sana na wanadharau kujibu sms!
lala na mkasi usiku unazikata!ataona azinusuru kwa kutokuvaa na kero yako itaisha!