GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Yaani kama kuna Siku ambayo GENTAMYCINE nitajikita Kusoma sana tu Comments zenu basi ni katika huu Uzi wa leo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Piga chini wote, ishi maisha yako. Hata biblia imetueleza jirani yako ni nani. Jirani siyo mtu ambaye nyumba zenu zinakaribiana au kupakana. Mimi desturi yangu jambo la kwanza sina rafiki au Marafiki ( friend or friends) bali nina contacts person.Yaani kama kuna Siku ambayo GENTAMYCINE nitajikita Kusoma sana tu Comments zenu basi ni katika huu Uzi wa leo.
Yaani kama kuna Siku ambayo GENTAMYCINE nitajikita Kusoma sana tu Comments zenu basi ni katika huu Uzi wa leo.
Ukijitenga nao watakuambia kuwa Unaringa, mara unajifanya Msomi na zaidi pia watasema unajifanya una Akili mno.Kujitenga ni Bora aisee popoma
Ukijitenga nao watakuambia kuwa Unaringa, mara unajifanya Msomi na zaidi pia watasema unajifanya una Akili mno.Ni heri uwe peke yako , kuliko kuzungukwa na watu wenye kudharau
Asante na Ushauri na Neno pia Baba Mchungaji.Piga chini wote, ishi maisha yako. Hata biblia imetueleza jirani yako ni nani. Jirani siyo mtu ambaye nyumba zenu zinakaribiana au kupakana. Mimi desturi yangu jambo la kwanza sina rafiki au Marafiki ( friend or friends) bali nina contacts person.
Na JIRANI YANGU NI NANI? (LUKA 10:25-37)
Yesu akajibu akasema, Mtu mmoja alishuka toka Yerusalemu kwenda Yeriko, akaangukia kati ya wanyang'anyi; wakamvua nguo, wakamtia jeraha, wakaenda zao, wakimwacha karibu ya kufa.
Na Mlawi vivyo hivyo, alipofika pale akamwona, akapita kando.
Lakini, Msamaria mmoja katika kusafiri kwake alifika hapo alipo; na alipomwona alimhurumia
Akakaribia, akamfunga jeraha zake, akizitia mafuta na divai; akampandisha juu ya mnyama wake, akampeleka mpaka nyumba ya wageni, akamtunza.
Hata siku ya pili akatoa dinari mbili, akampa mwenye nyumba ya wageni, akisema, Mtunze huyu, na cho chote utakachogharimiwa zaidi, mimi nitakaporudi nitakulipa.
Waonaje wewe, katika hao watatu, ni yupi aliyekuwa jirani yake yule aliyeangukia kati ya wanyang'anyi?
Akasema, Ni huyo aliyemwonea huruma. Yesu akamwambia, Enenda zako, nawe ukafanye vivyo hivyo.
Nimeupenda sana Ushauri wako kwani hauna Madhara kwa pande zote ila pia unakuweka Wewe salama na Huru pia.Ishi maisha maisha yako hilo ndio la maana mie Nina washkaji ni watu wa bata mwanzo mwisho full mademu ila ndio washkaji nachofanya siku nikiamua ndio nakua nao ila naweza kupetea hata miezi miwili nilishaona dalili za kudharauliana na kufatiliana wanaaza kuulizana jamaa anafanya kazi wapi mshahara wake secta Ile wanalipwaje. Ni upuuzi Bora kujitenga nao waongee wawezavyo ila siku ukijisikia unajichanganya kidogo
Kujitenga dalili za ugonjwa wa akili🤪Kujitenga ni Bora aisee popoma
Nimekukubali Mkuu.ukisharuhusu circle yako kuwa kubwa tegemea unnecessary people waongezeke, ishi maisha yako, wacha wakutenge as long as unayaishi maisha yako to the fullest dont give a 💩💩💩about them!! kama ni familia hudhuria unapoweza, una mchango changia unachoweza, wacha waseme huyu kila siku hana mchango kila siku hanahela kumbe uhalisia huna kweli but watu ambao hawajazoea kueleza shida zao hua wanahukumiwa hivo. ukipata mtu wakushikana kwenye shida huyo mshikilie
Natamani ungeniona nilivyocheka hadi basi baada ya Kusoma hii Post yako kwani ni kama vile unanipiga Dongo kiaina.Kama ulikuwa unapata ofa zao sana halafu saiv maisha umeyapatia unataka ku chase dream zako na kuwatenga washkaji lazima wakunange sana tu..
Jambo la msingi zoea kila hali...
Kama kuna Thread ambayo Naipenda na napata Elimu na kuendelea Kujifunza na kujua mengi na hii ya leo. Asanteni.Kujitenga ndivyo ninavyoishi!!
unakua na mazoea na wachache sana!Tena stori TU sio mengine!!
Siyo kujitenga huko ambako labda unamaanisha Wewe. Soma posts za Watu hapa kisha utaelewa Kinachomaanishwa.Kujitenga dalili za ugonjwa wa akili🤪
SureYaani kama kuna Siku ambayo GENTAMYCINE nitajikita Kusoma sana tu Comments zenu basi ni katika huu Uzi wa leo.
Safi sana Kudadadeki ila Mkuu umewasahau pia na Marafiki wa Kitaani au na hata wale wa Makazini au Wao ni poa tu?Binadamu wengi wakuda sana hasa ndugu. Kulaumiana ni kwingi sana. Nilishaamua kuishi maisha yangu, sijali wataongea nini.