Lipi kati ya haya ni sahihi kuhusu Ahmed Ally?

hewamkaa

Member
Joined
Mar 30, 2023
Posts
85
Reaction score
127
Utasikia mara oh, SEMAJI la CAF. Kwa kizungu ina maana ya SPOKES PERSON wa CAF. Hii nafasi kaipata lini? Au tuseme, Afisa MAELEZO wa CAF. Kapata lini ajira hiyo? Au ni pale tunapodhihirisha kwamba Tanzania hatujui kizungu?

Na hapa si Watanzania wote, bali mashabiki wa timu yetu pendwa? Hivi ni kweli mashabiki hawa wako down kiasi hiki?

Tufike mahala tujitambue. Ahmed Ally ninayemjua mimi, ni Afisa habari wa timu ya Simba. Au tumuite afisa MAELEZO wa Simba.

Huko CAF mnamkoga tu na kumpandisha midadi mpaka anafika mahala, SARE anaiita USHINDI mkubwa.

POVU ruksa

 
Najuta hata kwanini nimepoteza muda wangu adhimu kufungua Thread ya Kipuuzi na Kipumbavu kama hii.
 
Mbona JF kila mtu ni "MKUU"na huulizi
 
Umetoka lini buzirayombo,mbona aibu
 
Ni vi melea vya ushamba tu.
 
Kwa hiyo umeumia sana, pole,kunywa maji baridi ulale kidogo
 
Siku hizi watu hata wakipewa Nick Names (Alias/A.K.A) inakua agenda, aisee😂

Wanatanzania tunakula vyakula gani siku hizi? Mbona kama uwezo wa kufikiri wengi unapungua.

Kama unabisha, angalia hata threads nyingi za hapa Jamii forums.
 
Mkuu!!
Upo serious au umeamka ukaamua ujiandie Uzi wako tu vile unataka?
 
WENYE aakili timamu ni wawili tu

Unakaa na KUPOTEZA MUDA kuandika Upuuzi kama huo ungetumia muda huo kufanya kitu Cha maana.


ALAFU Nyuzi kama Hizi ndio zipo Front hapa Jukwaani I don't know why??????

TUJISAHIHISHE.
 
Acha wivu kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…