Utasikia mara oh, SEMAJI la CAF. Kwa kizungu ina maana ya SPOKES PERSON wa CAF. Hii nafasi kaipata lini? Au tuseme, Afisa MAELEZO wa CAF. Kapata lini ajira hiyo? Au ni pale tunapodhihirisha kwamba Tanzania hatujui kizungu?
Na hapa si Watanzania wote, bali mashabiki wa timu yetu pendwa? Hivi ni kweli mashabiki hawa wako down kiasi hiki?
Tufike mahala tujitambue. Ahmed Ally ninayemjua mimi, ni Afisa habari wa timu ya Simba. Au tumuite afisa MAELEZO wa Simba.
Huko CAF mnamkoga tu na kumpandisha midadi mpaka anafika mahala, SARE anaiita USHINDI mkubwa.
POVU ruksa
View attachment 2757675