Lipi kati ya haya ni sahihi kuhusu Ahmed Ally?

Utasikia mara oh, SEMAJI la CAF. Kwa kizungu ina maana ya SPOKES PERSON wa CAF. Hii nafasi kaipata lini? Au tuseme, Afisa MAELEZO wa CAF. Kapata lini ajira hiyo? Au ni pale tunapodhihirisha kwamba Tanzania hatujui kizungu?

Na hapa si Watanzania wote, bali mashabiki wa timu yetu pendwa? Hivi ni kweli mashabiki hawa wako down kiasi hiki?

Tufike mahala tujitambue. Ahmed Ally ninayemjua mimi, ni Afisa habari wa timu ya Simba. Au tumuite afisa MAELEZO wa Simba.

Huko CAF mnamkoga tu na kumpandisha midadi mpaka anafika mahala, SARE anaiita USHINDI mkubwa.

POVU ruksa

View attachment 2757675
Una msongo au sonona.Utashindwa kuhema dada!
 
Kwanini unakua mvamizi kwenye majukwaa ya watu. Baki kule unakostahili.

Nb: Nzengeli mnamuita MBAPE hii nayo tuhoji au!

Wee dada jinsi unaongea km umetoka kukeketwa.
 
Back
Top Bottom