vipi EURO...Champions league
ha ha ha ha maskini ArsenalHakuna kombe kubwa barani Ulaya linaloweza kuchukuliwa na Arsenal. Kwa hiyo kombe kubwa barani Ulaya ni kombe lolote ambalo Arsenal ilishawahi kushiriki ila haijawahilitwaa
Hakuna kombe kubwa barani Ulaya linaloweza kuchukuliwa na Arsenal. Kwa hiyo kombe kubwa barani Ulaya ni kombe lolote ambalo Arsenal ilishawahi kushiriki ila haijawahilitwaa
Sawa pamoja na utoto wote ulioongea ila hujasema kombe gani lina thamani kubwa kati ya hayo ambayo arsenal hajachukua
Jiulize mwenyewe kama wewe unauujua mpira na ni mpenda mpira kombe ambalo Arsenal hawajawaichukua then ndo jibu sahihi
Kwa sasa ni uefa champions League bt kuanzia msim wa mwaka 2016-17 epl ndo itakuwa inaongoza
Habari wana JF! Naomba kufahamishwa lipi kömbe la thamani kubwa barani ulaya; baada ya timu ya arsenal kuchukua FA nimesikia wengi wakisema eti kachukua kikombe cha uji, naomba kuwasilisha
Sawa pamoja na utoto wote ulioongea ila hujasema kombe gani lina thamani kubwa kati ya hayo ambayo arsenal hajachukua
UEFA,Europa