Lipi kombe la thamani kubwa ulaya

Lipi kombe la thamani kubwa ulaya

Kel-dizo

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2015
Posts
423
Reaction score
168
Habari wana JF! Naomba kufahamishwa lipi kömbe la thamani kubwa barani ulaya; baada ya timu ya arsenal kuchukua FA nimesikia wengi wakisema eti kachukua kikombe cha uji, naomba kuwasilisha
 
Hakuna kombe kubwa barani Ulaya linaloweza kuchukuliwa na Arsenal. Kwa hiyo kombe kubwa barani Ulaya ni kombe lolote ambalo Arsenal ilishawahi kushiriki ila haijawahilitwaa
 
Hakuna kombe kubwa barani Ulaya linaloweza kuchukuliwa na Arsenal. Kwa hiyo kombe kubwa barani Ulaya ni kombe lolote ambalo Arsenal ilishawahi kushiriki ila haijawahilitwaa
ha ha ha ha maskini Arsenal
 
Kwa sasa ni uefa champions League bt kuanzia msim wa mwaka 2016-17 epl ndo itakuwa inaongoza
 
Hakuna kombe kubwa barani Ulaya linaloweza kuchukuliwa na Arsenal. Kwa hiyo kombe kubwa barani Ulaya ni kombe lolote ambalo Arsenal ilishawahi kushiriki ila haijawahilitwaa

Sawa pamoja na utoto wote ulioongea ila hujasema kombe gani lina thamani kubwa kati ya hayo ambayo arsenal hajachukua
 
Ingawa swali lako hujaanisha kwenye ngazi ipi, lakini kwa Ulaya la kwanza ni Euro (mataifa ya Ulaya), Uefa champions League, Europa na super cup( hili hukutanisha bingwa wa Uefa Champions League na bingwa wa Europa). Na kila nchi ina mataji yake, la kwanza ni Ligi Kuu, Kombe la Chama cha soka( kama England ni FA) na makombe mengine kama nchini Hispania kuna la mfalme.
 
Sawa pamoja na utoto wote ulioongea ila hujasema kombe gani lina thamani kubwa kati ya hayo ambayo arsenal hajachukua

Jiulize mwenyewe kama wewe unauujua mpira na ni mpenda mpira kombe ambalo Arsenal hawajawaichukua then ndo jibu sahihi
 
Jiulize mwenyewe kama wewe unauujua mpira na ni mpenda mpira kombe ambalo Arsenal hawajawaichukua then ndo jibu sahihi

Nahisi hajachukua makombe haya, uefa champions ligi, Europa na super cup. Ss turudi kwenye maneno yako je km kweli hayo yote hajachukua so lipi kati ya hayo lina thamani kuliko lingine km swali linavyoelekeza?
 
Kwa sasa ni uefa champions League bt kuanzia msim wa mwaka 2016-17 epl ndo itakuwa inaongoza

Sijaelewa, je unaweza kutufafanulia tafadhari? Ikiwezekana weka link yoyote kusisitiza maelezo yako.
 
Shukrani sana kwa michango yenu pamoja na kuwa kila mtu anasema yake pasipo kutoa ushahidi!
 
Habari wana JF! Naomba kufahamishwa lipi kömbe la thamani kubwa barani ulaya; baada ya timu ya arsenal kuchukua FA nimesikia wengi wakisema eti kachukua kikombe cha uji, naomba kuwasilisha

Si afadhali huyo Arsenal kachukua hicho kikombe cha uji. Angalia Manchester United, Manchester City, Liverpool. Wote kapa. Wangepata hicho cha uji wangeshukuru mbona.
 
UEFA,Europa

Sizani km yatakuwa na thamani sawa hayo makombe yote mawili km ulivyo elekeza hapa, ingekuwa vizuri km ukawa specific km ni uefa we sema uefa au km ni europa pia vivo hivo, ila tu endapo km una uhakika. Asante
 
Back
Top Bottom