Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Saini(Sign) ni kiingereza ambapo ni kifupi cha signature,Sahihi ni kiswahiliNaomba kujua matumizi ya hayo maneno kuoneshe "signature" lipi ni rasimi?
Saini=Signature.Yote mawili mkuu ni maneno yenye kumanisha kitu kilekile waingereza wanaita signature
Saini sio neno la kiswahiliNi sahihi kutumia neno saini kumaanisha Signature
Na mm nina mawazo kama yako Saini (kitendo).Mtu atakwambia saini hapa (yaani weka sahihi,ule mwandiko wa kunyonanyonga...).Sign(saini)=Verb(Kitendo).Sahihi kwenye kiswahili linaweza kutumika kama Correct au Signature hapo ndipo tatizo lilipo!!Yote sahihi ila matumizi ni tofauti
In eng
Saini means put a signature
Sahihi=signature
Sio kweli, saini=sign na sahihi =signature ila neno sahihi lina maana mbili sahihi = correctManeno mawili 'saini' na 'sahihi' Kimsingi yanatofautiana, saini kwa kisukuma huitwa signature(sign) na sahihi wasukuma wanaita something correct, right.
Kuna watu wanatumia maneno haya kimazoea tu.
Kongole mwanagenzi, yote ni sawa.Yote ni sawa tu ingawaje kuna tofauti ndogo sana ambayo inajidhihirisha kwenye matumizi. Mfano:
1. Njoo U-saini hapa.
2. Njoo uweke sahihi hapa.