Focas Kamali
Member
- Jun 13, 2012
- 12
- 3
Mara nyingi ndani ya vyombo vya usafiri hasa daladala utasikia abiria anatamka shusha kituo fulani ama acha kituo fulani. Ni neno gani hasa linapasa kutumika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara nyingi ndani ya vyombo vya usafiri hasa daladala utasikia abiria anatamka shusha kituo fulani ama acha kituo fulani. Ni neno gani hasa linapasa kutumika?
Kusema kweli lugha sahihi ni 'shusha' au pengine 'teremsha'Mara nyingi ndani ya vyombo vya usafiri hasa daladala utasikia abiria anatamka shusha kituo fulani ama acha kituo fulani. Ni neno gani hasa linapasa kutumika?
Mara nyingi ndani ya vyombo vya usafiri hasa daladala utasikia abiria anatamka shusha kituo fulani ama acha kituo fulani. Ni neno gani hasa linapasa kutumika?
Kama unataka kujadili katika muktadha uliouwakilisha, neno sahihi ni "SHUKA" au "TEREMKA" na wala sio SHUSHA au ACHA.
Hivyo mtumiaji wa chombo cha usafiri mathalani anapaswa atamke ya kwamba:
Nahitaji kushuka mahali fulani au Nahitaji kuteremka mahali fulani.
Neno sahihi kwa abiria kulitumia katika kumtaarifu kondakta au dereva ni 'Shusha!Kimsingi hiyo ni 'Amri' kutoka kwa abiria:na amri hii inaweza kutolewa moja kwa moja na abiria bila kondakta au dereva kuuliza au baada ya kondakta au dereva kuuliza kuhusu kama kuna abiria yeyote anataka kushuka ktk kituo husika.
Na abiria akilitumia neno "Shusha" kunaweza kukawa na maana mbili:-
1.Huyo abiria aliyetamka shusha anataka kushuka ktk kituo hicho.
2.Huyo abiria aliyetamka shusha anayo taarifa kua kuna abiria mwinzie anataka kushuka katika kituo hicho;
Ila neno "Shusha" likitumika walau abiria mmoja ashuke ktk kituo husika:Na sio lazima kwa abiria aliyetamka neno "shusha" ashuke.
Neno 'Acha' sio neno fasaha la kumtaarifu kondakta au dereva kuhusu maamuzi ya abiria ya kutaka kushuka kwenye kituo fulani.